mteja akioneshwa namna ya kutumia kadi za tembo kudroo mkwanja banda la crdb

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2007

    Nimepata moja toka Tanzanite account, unakamata mkwanja hata ukiwa huku huku ulaya kwenye ATMs. bravo CRDB

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2007

    nyie CRDB mmesoma hapa kwa MICHUZI na kuona zile foleni za ATM...haya chap chap nendeni mkazimwage hizo ATM kuondoa kero na nyie mtengeneze zenu kwa charge zenu za kuua mtu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...