haya tena wadau tenda hiyo. taa za dar zinahitaji ukarabati.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2007

    Basi kaka Michuzi inji hii ilivyo, tunavyoijua sisi wenyewe, hiyo Tenda watapeana KIUSHKAJI badala ya merits.
    Utashangaa taa zinawaka zimejitahidi sana wiki mbili, halafu baada ya hapo balbu zote haziwaki tena, mitaa inarudi giza kama zamani.
    We utaona tu! Utakuja kunikumbuka/kukumbuka hii koment yangu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2007

    Mimi nataka hiyo tend how do I follow up with it?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2007

    Taa za sasa hivi zote zingetakiwa ziende green. Tusave energy yetu...Umeme wa kwetu hautoshi kwa vile ni mkubwa sana kwa nini tusifanye 110 volts badala ya 220 watts nadhani tuna waste power sana though physics in not reachable to me but it doesn't take a rocket scientists or a brain surgeon to figure this out

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    Asante Michuzi, Ila hii tender tayari itakuwa na Mtu, wanatimiza wajibu wakuitangaza tu. Kama ukiipata basi utakuwa umetoa bingo kwa kila muhusika, ili zikiaribika wasikushike sharti.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    OUTDOOR washalamba TENDA sku nyingii...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...