Home
Unlabelled
tiba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Annaitwa Arufurwedi
ReplyDeleteJamaa huwananifurahisha kwa rafudh yake, yare majabazi yarikkuwa na siraha yalrikuwa yakiwashabuliwa vijana wetu rakini vijana wetu wametumia njia kukroo, Bwana hapo huwa nacheka sana.
ReplyDeleteAsante michuzi kutowekea Afdande Tibaigana.
si mchezo mjomba namkubali ile mbaya. dah na pol wangu yuko zenj ageamishwa dar igekuwa bomba. eti muholland si unamjua jamaa yuko fit. Au vp panlu!!
ReplyDeleteMheshimiwa Issa TUNASHUKURU KWA PICHA YA MHISHIMIWA.."..KAMA SIKOSEI HIYO NI SALUTI NA IMEKAMILIKA.." TUNASHUKURU JAPOKUWA PICHA NUSU...HAROO KUJA HAPA..SONGAGA..MBEREE..NTAKUPEREKA SERO..USINIRETEE ZA KURETA..EBO..
ReplyDeleteArrrrroooooo rkuja rhapa!! Kila kitu RAAAAAAA !! Ah mimi sasa nimeshachoka!!
ReplyDeleteSasa ndiyo anampungia nani,mbona sioni mtu anayepungiwa hapa,ama ndio style za kijeshi hizo,maan huwa naona maafande wakifanya namna hiyo wakipungiana wakiwa wawili lakini yeye namuona peke yake akipunga mkono wake
ReplyDeleteNi Huyu Afande, orijino wa fasheni ya mkanda mkubwa kiunono kwa akina dada, Maana hiyo fasheni inaitwa Tibaigana kwa heshima yake, yeye ndo Originator.
ReplyDeleteMichuzi siku ukimuintavyuu muulize anajisikiaje kwa jina lake kuwa in fashion?
Jamaa wa njuu vipi ina maana uko mbali na jeshi kiasi gani kana kwamba unashindwa kutofautisha kati ya saluti na kupunga mkono kwa ishara ya kusalimia jamaa aroo ntakuarest.
ReplyDeleteyare majambazzzzzzzz yarikuwa na short machine gani ya kutengenza kienyeji,na bastora tatu na risasi 12,bado tunafanya jenero atachiment kuweza kuyatia nguvuni
ReplyDeleteAroooooooo afande Rumaruraa hebu rikamate hilo rijamaa na uriaresti harakaa sanaa!!
ReplyDeleteMtoto wa Polisi ni Polisi, Alex na Lambert msasubiria nini kujoin jeshi la Polisi?
ReplyDelete