mdau john anayevinjari zenj katutumia picha hiyo na ujumbe huo
Mi sisemi ona mamboz hayo!! Ni buku moja tu unapata kitu hicho hapo forodhani ndani ya mji mkongwe znz.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2007

    bwana muhidin mambo gani unatuonyesha wakati wengine tumeamkia kande za maharage? haya bwana faidini wakubwa"!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2007

    tupeni ingredients zake and how to make it ndugu zetu wazenj hapo niliwahi kuonja siku moja bongo ilikuwa si mchezo kwa jamaa mmoja mzenj anaitwa caca cola(sio coca)
    by
    kilafi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2007

    Jamani hiyo ni pizza au chips zege?

    Sijawahi kuona pizza ya namna hii

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2007

    Hiyo ni pizza kweli. Ila nimefurahi kuona watu wanajua umhuhimu wa mboga za majani na matunda....this is good

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2007

    Jamani hiyo salad vipi tena, mbona haivutii, au ndo mambo ya kitu vumbi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...