mkutano wa wakuu wa nchi za junmuiya ya madola una takriban siku 70 na ushee kabla haujafanyika hapa kampala na jiji linajiandaa vilivyo kwa ugeni huo wa aina yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Field marshal Iddi Amin Dada The conqurer of the British empire President for life alishawahi kuhost huo Mkutano hapo Uganda Miaka ya sabini kama sikosei, au ilikuwa ni Mkutano wa OAU? Can'r remember which is which now, wtf!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...