watani wa jadi wamepiga stop kuvuta fegi sehemu za pabliki na wametenga sehemu maalumu kwa aliye na kiu ya kupiga pafu katika bustani ya uhuru paki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ina maana huo moshi hauvuki huo mpaka au ni kuwaadhibu tu wavuta sigara?

    kaka yangu unaua mapafu lakini nini sigara? stress iko wapi wewe wakati una totos nzuri kama hiyo?

    ReplyDelete
  2. Michu, Wacha Kuvuta Fegi . Huyo ni ushauri wangu tu nadhani madhara yake unayajua bila shaka!

    ReplyDelete
  3. Issa vipi? mbona ka vile tangia wa nigeria wakukorofishe una ka hasira fulani yaani hujali jali ivi, umekuwa ka "potelea mbali...."vile, ona ulivyo kaa hapo unavuta sigara havikufanani bana.

    ReplyDelete
  4. Michuzi kwa kupozi, huna sigara wala nini

    ReplyDelete
  5. MICHUZI MI NAFAHAMU SIGARA KUBWA UNAVUUTA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...