Home
Unlabelled
kwa watani wa jadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duu kweli kweli wa kupewa wapewe mungu amemuumba nadhani alifanya skachi kwanza haya bwana mungu awapatie maisha mema.eheeeeee ndio maana kaka michu alitetea sana hoja ya miss kinondoni kumbe ni kwaajili ya mai wifu si mzawa pia ukitaka kumuuzi kaka michuzi tuma habari yoyote ya kuhusu cooperation ya east africa ananuna huyo sasa hivi hakuna noma tutakuwa na nidhamu madamu wakwe zetu ni uko UG
ReplyDeletekumbe huo mguu ndio unatuonyesha kila siku....kwanini usiseme tuuu jamani hii ni miguu ya my wife
ReplyDeleteWSMICHU ULIMPATA WAPI HUYU DADA NA ULIMPATAJE?AU BAADA YA KUCHAFUA WADADA HAPA BONGO THEN UKAONA SO KUOA HAPA TZ?MH ALAFU WEWE HUWA UNAPENDA NGOMA NYEUPE SASA NA HUYU ALIEZIMIKAWAPI NA WAPI?
ReplyDeleteTeh teh teh teh Kumbe kaka yangu na wewe umeoa mforeigner teh teh teh ete
ReplyDeleteKINDLY REFER TO THE KILIMANJARO STORY
ReplyDeletekatika maswala ya marketing, mimi sioni cha kuwalaumu wakenya,manaake watanzania wenyewe tumelala.ilaumuni serikali na hasa wizara ta utalii.
hebu niwaulize budget ya kutangaza vivutio vyetu vya utalii ni kiasi gani?
pia, mikakati au strategy ya kukuza vivutio na kuvitangaza kikamilifu ikoje?
tatizo letu watanzania ni moja, tunapenda sana kuchonga, lakini hatuna shauku ya kujikwamua, katika utalii wakenya siyo watu wa kutusumbua.
waambieni viongozi wetu wawajibike, of course wao wanaelewa umuhimu wa kilimanjaro - sasa ole wenu muwakubalie sijui EAST AFRICAN COMMUNITY, mtaona cha mtema kuni.
jamaa wanatumia advantage kwamba, kwa tanzania, wanaofaidi matunda ya rasilimali na maliasili ni wageni na maswahiba wao walioko madarakani, siyo wananchi.
advantage kubwa zaidi ni kwamba wao wana international airline ambayo huleta watalii moja kwa moja ndani ya nchi yao na hata Tanzania, humo ndiyo wanatangaza hizo habari.sasa AIR TANZANIA iko wapi kushindana hapo?
EBOO, nadhani tunaelewana sasa, tuache kelele, tufanye kazi kwa vitendo.
alishaoa huyo. Baada ya mambo kumyookea ameona atafute mwanamke mwingine...kwani hamjijui wanaume? mkipata vijipesa kidogo badala ya kuinvesti kwenye mambo ya maendeleo, mnaongeza mke. Ogopeni radhi za wake zenu mliowaoa wakati mna dhiki na kuchuma pamoja....SHAURI ZENU !!!!!!!!
ReplyDeleteMweee UGG mzuri sana lakini she is kind of to young to yu...Ninavyokujua ???? labda 15 yrs apart hapo mh mh mh mhmh mmmmmmmmmm hongear kaka
ReplyDeleteteach us the secret
jamani michuzi ana Green card ya Uganda,looh ndo makaratasi hayo mwanangu.
ReplyDeleteHongera michuzi!
ReplyDeleteLakini kadi vipi?
Nashukuru kwa kumuona mkeo kwani Mie nilikuwa mmoja wa hao waliokuwa wanakusumbua twatakapicha ya mkeo, sina budi kukusifia kwani mke uliye naye sio mchezo, kwa kifupi amejaariwa ni mlembo sana.
ReplyDeleteAsante
Hiyo miguu ya mkeo hovyo!
ReplyDeleteIMEKAA KAMA YA BATA MZINGA
We anony wa hapo juu , katafute wako acha kukandia kandia ovyo, ndio tabu ya wabongo - Mtu mzima ovyooo!
ReplyDeleteMhh! Lakini Michuzi hujaeleza wadau huyo mkeo wa UG chuo cha ngapi??
ReplyDeleteKaka naona umeamua kutembea, hakikisha hizo safari na Bi-mdogo zinaleta anko zisiwe za bure.
ReplyDeleteAcheni nie msianze mambo yenu. Issa kapendeza na mkewe, lkn kaka Michu punguza hasira maana kuna mahala umesema "sasa ndoo nitaweka na picha za harusi kabisaaaa" ka vile kuna demu wa kitanzania alikukorofisha sasa unalipiza kisasi just cool down man! tumesha elewa...lol
ReplyDeleteMichuzi unatafuta greencard ya Uganda nini?Hapo unapata makaratasi yako taraatibu ile mbaya.
ReplyDeleteMichuzi ameelekea kwa M7 baada ya kuchoshwa na kuombwa pesa ya sare ya ngoma, mwamke kuacha chakula na kufuata mdundiko. Mai waifu wake amepandisha madarasa na wanashauriana kwenye maisha, biashara hata vocations! Acheni wivu kama aliwapitia basi bahati ameipata Mulamu wetu (shemeji,wifi)
ReplyDelete