Wapendwa wanajumuiya,
Kwa niaba ya familia yangu, ningependa kutoa taarifa ya shughuli za maandalizi ya mazishi ya dada yetu mpendwa, Roycana Mungai(Roy).
Mwili wa marehemu Roy unatarajiwa kuwasili hapa Dallas kutoka Columbus kati ya jumatatu jioni na jumanne.
Shughuli za kuaga mwili na maombi zitafanyika Jumamosi ijayo, August 11, mchana. Habari zaidi tutatoa hivi karibuni.
Kwa wale ambao watapenda kutusaidia katika gharama za msiba na kusafirisha mwili, tumefungua account ifuatayo kwa ajili ya kupokea michango:
Bank of America

Acct Name: Roycana Mungai Memorial Fund
Acc #: 004885750908
Routing #: 111000025
Pia michango inaweza kutolewa nyumbani kwa Dada Anita Mungai-Fundi(dada wa marehemu) na Rumadha Fundi, ambapo ndio msiba upo
au kwa ndugu mwingine yeyote hapa Dallas.
All assistance will be appreciated
Kwa habari zaidi wasiliana na:
Anita Mungai 214-435-8846
Paul Mungai 214-9291327
Evans Lukosi 214-564-0222
Rumadha Fundi 469-544-6380
Kitova Mungai 214-455-5082
Ahsanteni,
Kitova

poleni sana wafiwa,hivi kaka michuzi kuuliza sio ujinga mtu yoyote yule akifa ni Hayati au marehemu
ReplyDeletepoleni wanyarukoro mungu amlaze maali pema tunawaombea wenu semgowole london.binti wa mafinga
ReplyDeleteR.I.P To Roycana Mungai...condolences to the Mungai family in the US & Tanzania...Jamani kuuliza sio ujinga ila kila kitu kina wakati wake, hata kuuliza swali kujua kuna mahala pake...Again, R.I.P to Ms. Roycana Mungai
ReplyDeleteHuyu ni ndugu yake Jimmy Mungai
ReplyDeletePoleni wafiwa and may God rest her soul in peace
God my lord!
ReplyDeleteso shocked na kifo cha Rose,it pains after not seeing/hearing from a friend for long time,you just get the sad news that she is dead.Roy darling you`ll trully be missed and may your soul rest in Eternal Peace.
Rose dear,pole sana kwako na Mungai Family.i sympathise with you through prayers till you guys come.
R.I.P Roy.
I met Roy through a friend bt she was a very good person she was quite lady and very mtiifu mungu amlaze mahali pema peponi. Bwana aliumba bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
ReplyDeleteI can't believe it! I have been seraching for Roy since we parted in Iringa, 1988. Since then I have been trying to locate her to no avail, till today when I googled and got the shocking news that she passed away.
ReplyDeleteIt's sad that I didn't get a chance to get in touch with her once again.
May our good Lord Rest your Soul In eternal peace.
I miss you and will always miss you my friend.
R.I.P girl!