KUNA MDAU HAPO CHINI KANITUHUMU KULA RUSHWA NA MUANDAAJI WA SHOO YA RAY C UHOLANZI. KATIKA KUWEKA REKODI SAWA NAOMBA NIWAFAHAMISHE WADAU WOTE KWAMBA NIMEONDOA PICHA NA MATANGAZO YA RAY C BAADA YA MSANII HUYO KUNIPIGA MARUFUKU KUWEKA HABARI ZAKE KWENYE GLOBU YETU HII KWA SABABU AMBAZO HAKUZITAJA. HIVYO NAHESHIMU UTASHI WAKE NA SIO RUSHWA AMA KITU KINGINE ILA RAY C MWENYEWE AMINIZUIA KUWEKA HABARI ZAKE HUMU...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. Michuzi, Ray C angekuwa na akili angekuomba umuongezee jina lake kwenye blog yako, siyo uondoe, hajui kuwa blog hii ngiyo inaagaliwa na watanzania wengi kuliko blog yoyote ile duniani. Anyway, usife moyo, ndiyo kawaida yetu wabongo. kinachonishangaza kuhusu wewe kwa nini umekasirika, inaonekana kuwa umekasirika na kashfa za kipumbavu, ukikasirika ndiyo wajinga wanafurahi.

    ReplyDelete
  2. Michuzi umefanya kutu kizuri kuondoa picha za Ray C. humu kwa mana mie zilikuwa zinanitia kinyaa tu. Si lolote wala si chochote huyo raycd kwanza kakupunguzia kazii na katuondolea usiku hapa. Na atajutia uamuzi wake, hajui kama sio ajabu kualikwa kwake huko ulaya ni kazi ya GLUBU yetu hii.

    Kubwa jinga linavunja madaraja kabla halijavuka mtu kha!

    ReplyDelete
  3. Michuzi, mimi huuzika sana kwa habari kama hizi zinazokosa ukweli ndani yake. Hivi kupokea hela kama Ruzuku ya serikali nayo ni kukusanya?, Wasiwasi wangu ni uwezo wa kiuchambuzi wa mwandishi wa habari hii, kweli inasikitisha, hapa ukweli ni kuwa wilaya imekusanya Tshs 70.2 Milion na sio 7Billion kama mwandishi alivyoripoti


    Halmashauri Iramba yakusanya bilioni 7/-
    Hudson Kazonta, Iramba
    HabariLeo; Tuesday,August 07, 2007 @00:02

    ZAIDI ya Sh bilioni saba zimekusanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato katika mwaka mmoja, Julai mwaka jana na Juni mwaka huu.

    Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Mweka Hazina wa halmashauri hiyo, Cosmas Maganga alipotoa taarifa ya mapato ya halmashauri hiyo kutoka katika vyanzo vyake vya mapato kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.

    Alisema halmashauri imekusanya zaidi ya Sh milioni 66.8 kati ya lengo la kukusanya Sh milioni 70.2 kutoka vyanzo vyake vya mapato.

    Maganga alisema Serikali Kuu imeifidia halmashauri hiyo zaidi ya Sh milioni 378 kutokana na ushuru na kodi mbalimbali zilizofutwa na serikali ambazo zilikuwa kero kwa wananchi. Kiasi hicho ni kati ya lengo la kufidiwa zaidi ya Sh milioni 380.

    Alisema pia Serikali Kuu imewapatia ruzuku ya Sh 6,593,834,539 kati ya lengo la kupewa Sh 8,422,134,500.

    Halmashauri imetumia zaidi ya Sh milioni 52.4 kugharamia utambuzi wa watoto 6,369 walio katika mazingira magumu zaidi kutoka kata 11, alisema.

    Alisema kiasi kingine kutoka fedha hizo, zimetumika kutoa huduma mbalimbali, ikiwamo gharama za masomo kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu zaidi walio kwenye shule za msingi na sekondari.

    ReplyDelete
  4. Nafikiri Ray C Sasa anajiona yupo kileleni hataki tena promotion, kamaliza ila isikukatishe tamaa kwani yeye kawa nani hasa kwenye GLOBU hii, globu ipo na itaendelea kutembelewa zaidi na zaidi kwanza yeye alikuwa anatia usiku tu humu kwanza kama mimi nilikuwa hata sijihangaishi kusoma kilichoandikwa kwenye picha yake. Au anadhani wewe unapata hela na umaarufu kupitia majina yao, hahhahahahaha amekosea sana na michu tukiona picha au tangazo la huyo mtoto tena humu, tunakushambulia kama nyuki, jiandae.

    Mi nakupa tano kwa kumdelete humu kwenye blog ya watanzania. Na mwambie aache kutembelea na blog kwani kajuaje kuwa yumo humu???.

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi uondoe vipicha vyote vya wanaotuonyesha vitovu vyao kwani tunataka blog yetu iwe ya watu wenye akilizao na ustaarabu wao tumechoka kuona vitovu vya hao kwani vya wazungu tu huku vinatukera sawa kaka!!

    ReplyDelete
  6. Inawezeka ray c anamlinda muandaaji wa show yake ya holland kwani yeye alikuwa hana kosa lolote itakuwaje akwambie utoe picha zake ktk blog yako mbona zile za kutangaza tour yake hakuziwia? kwamaana hiyo ray c amelidhika na mambo tuliofanyiwa? tunaomba ray c wewe sasa ndio utuombe radhi kwa maudhi yote tuliofanyiwa hapa holland kwani sio haki kabisa tulipe euro 20 kwa kichwa uje utuimbie nyimbo 3 kisha uondoke naisitoshe umeingia ukumbini saa 8 usiku.

    ReplyDelete
  7. Aisee kumbe masuper hawana maana wanathamini watu wanao wahalibia sifa zao kuliko mashabiki wao.

    ReplyDelete
  8. Thanks to her manake tulishazichoka hizo picha kila siku huku kwenye blog

    Tukikwambia ulikua hutusikilizi sasa afadhali yeye mwenyewe mpaka amejichoka pia ndio kukwambia umemsikiliza. Learn from people man

    Hata kama ni kutangaza umekua ukimtangaza sana yeye pamoja na huyu msichana anaitwa Cynthisia kila mara ni wao tu...inabore sana...

    ReplyDelete
  9. huyoo ray c..mshambaaa nini....nashangaa hata huku europe kaja kufanya nini anatuwekea usikuu tuu...hanaa mpangoooo!!!!

    ReplyDelete
  10. Achana nae limbukeni, hajui ni kiasi gani umemtangaza kwa bure. anajiona kafika sio,aendelee na maringo ataona manunuzi ya muziki. Kwanza nilidhani wanakuomba na kukupigia magoti kumbe wanadhani wewe ndio unafaidika. Mpumbavu wala sitaki kuona tena uchafu wake hapaaaaaa.

    ReplyDelete
  11. This is from BBC NEWS


    Tanzania has delayed the opening of its new 60,000-seat stadium in Dar es Salaam.


    Tanzania has delayed the opening of its new 60,000-seat stadium in Dar es Salaam.

    The delay means that Tanzania will not be able to play their African Cup of Nations qualifier against Mozambique at the new stadium early next month.

    The country?s Minister for Information, Culture and Sports Mohammed Seif Khatib said that the Chinese company, which built the stadium, is yet to formally hand it over to the government.

    "The Tanzania Football Federation requested for the new stadium to host the match against Mozambique and the government thought it was good idea for this big match to be played there,? Khatib said.

    "But that will not be possible because the contractors have not handed it over to the government.?

    There seems to be some confusion over the cause of the delay because Zu Dao Chun, the project's general manager, has told BBC Sport that the stadium is ready and they are waiting for the government to say when they want to take charge of it.

    However Khatib said he contacted a Chinese Embassy official two weeks ago, who could not tell him when they were planning to hand it over.

    The news has not been well received by the Taifa Stars coach Marcio Maximo, who had hoped that playing in front of 60,000 would boost his team?s chances of beating Mozambique.

    ?Imagine a crowd of 60,000 people cheering up the team, in that classic stadium, obviously it would raise the players' spirits to achieve good results,? the Brazilian said.

    The 35,000 capacity CCM Kirumba Stadium, in Mwanza on the shores of Lake Victoria is likely to host the match instead.

    ReplyDelete
  12. Wafisadi wetu wajifunze kutoka kwa Wa- Nigeria, soma hii hapa chini, sio wanasiasa wetu wanaanza oooh, mtu akistaafu kwanini tumfuate fuate. Futilia mbali mikataba yote feki inayoumiza vichwa Watanzania. Alaaaaaa.Habari hii ni kwa mujibu wa http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/6934794.stm

    XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

    Nigeria blocks huge clinic deal

    Umaru Yar'Adua was hand-picked by Olusegun Obasanjo
    Nigerian President Umaru Yar'Adua has ordered the suspension of a multi-million dollar contract awarded by his predecessor Olusegun Obasanjo.
    The 18bn naira ($145m) contract to build health clinics across the country was awarded to a company believed to be owned by a former aide to Mr Obasanjo.

    "It was an illegal contract," Mr Yar'Adua's spokesman told the BBC.

    Last month, Mr Yar'Adua reversed the controversial sale of two refineries to a business group linked to Mr Obasanjo.

    Nigeria is seen as one of the world's most corrupt countries - an image both Mr Obasanjo and Mr Yar'Adua have pledged to end.

    Rule of law

    The contract, awarded last year, was to build a primary healthcare centre in each of Nigeria's 774 local council areas.


    Olusegun Obasanjo still runs the ruling party
    The contract was funded by compulsory deductions from each of the local councils' share of monthly oil revenue.

    "There's no law backing it. It was being funded with illegal local government funds," President Yar'Adua's spokesman Olusegun Adeniyi told the BBC News website

    This is the second time in less than three weeks that President Yar'Adua would be reversing a major decision taken by his predecessor and political benefactor.

    Mr Adeniyi denied that President Yar'Adua was trying to prove his independence from his predecessor, who had been instrumental in his landslide win in last April's presidential polls.

    "For President Yar'Adua, everything is about the rule of law and this contract was found to be illegal," Mr Adeniyi said

    ReplyDelete
  13. baba michuzi waswahili hawana wema. mtu unaweza ukawa unamfanyia advertise tena bure kabisa lakini akaona noma. waswahili ndio walivyo mwanawane usishangae!

    ReplyDelete
  14. michu huyo sijui Ray C sijui nani kaboa sana. Kaja Uhalanzi bangi za huko zikamkolea hakuja Finland. Sasa wadau wa huku tumetoka Helsinki na kwingineko tukakuta hayupo Tampere kwenye Fest Afrika. Katangazwa sana huku sio kwamba tunaua, tunampenda ndo maana. Siku nyingine asifanye hivyo. Usibane Michu waeleze wadau wengine pia. Next time wamlete Lady Jay Dee katulia zaidi.

    ReplyDelete
  15. Michuzi wewe na Ray cd wote sawa sawa tu.Wote mlikunywa uji wa mgonjwa na mgonywa akafa.Yani huyo mimacho utafikiri mikengeza anakuchimba biti na wewe na uume wako unanyweaa???ahahahahaha!! So funny!!Ulifikiri usipotoa picha zake utashitakiwa nini au atakushtaki kwa mwisho?? mbona wote wachovu tu.Kwani michuzi huna mwanasheria wako??If no unaishije mjanja kama wewe huna mwanasheria wa kukusaidia mambo ya kisheria??
    Pia michuzi hivi unajua kuwa hii blog yako is one of the mass media??kama ni ndiyo wewe mwana habari unaogopaje mkwara mbuzi huo???Au michuzi na wewe ni mmoja wa wale waandishi wa habari waliochorwa katuni na wakenya wakimramba nanii miguu yake?????UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TZ NA UOGA WA WAANDISHI.
    Michuzi eeh,Ray Cd kakuomba kufanya hivyo akiwa amepiga msuba.Usiogope kaka.Mr ebo aliimba...."Ganja bwana..."
    Wa Majita Bugunda

    ReplyDelete
  16. nashukuru umetoa hii taarifa koz nilikuwa nasitasita kufanya booking ya basi online to Bristol kwenda kumpa sapoti(kwa kuhudhulia shoo ya huyo binti japo simzimii) mshkaji aliandaa hiyo shoo.
    Usivunjike moyo ukawanyima wengine nafasi,nahis viza alionayo si kufanya mambo afanyayo ni ya matembezi pengine au alizani viza ya huko aliko itamfikisha USA na UK, sasa anaona ataposhindwa kuja huku ulimwengu utajua. Achana nae, ila katika suala la matangazo yake tuu,habari zake hana jeuri ya kuzuia tusizipate coz iyo ni haki yetu ya msingi (kupata habari)si unajua tena mambo ya mainfomation soshayati!

    ReplyDelete
  17. Michuzi....LOL Wewe tena unanichekesha why personal preferance for certain 'people' Duh wewe tena Weka mambo ya journalism na free speech, Au umekuwa advocate wa 'censorshp, Tumia ujanja kama beyonce alivyofanya kuondoa video zake yeye kuanguka kwenye concert ya orlando kutolewa youtube.com, However sijui Ray C anakutishia nini au Anakupa nini (!) Hah haaa
    Una bahati sana ...

    ReplyDelete
  18. ISSA INASEMEKANA MKEO/MCHUMBA WAKO HAPENDI UHUSIANO WAKO WA KIBIASHARA NA BAADHI YA AKINA DADA, NI JAMBO ZURI KAMA LITAJENGA NA KULETA MAENDELEO KATIKA UNYUMBA WENU.Kumradhi kama ujumbe huu utatafsiriwa vinginevyo.

    ReplyDelete
  19. we rahema acha upuuzi badala ya kuwa karibu na waandishi kama hao ambao ndio hasa wanaojulisha watu kuwa kama sasa upo wapi na unafanya ziara sehem ipi wewe unapiga marufuku mpumbavu sana wewe hao wana kupromote sasa kwa tuishio ughibuni hata ukija na habari zako utaki ziandikwe utafanya shoo na nani ? mwehu huna lolote changu tu wewe nxiiiii

    ReplyDelete
  20. RAY-C KAMA UNASOMA HII BLOG(I am sure you do) WASILIANA na Michuzi kwanza umwombe radhi na pili umshukuru kwa kukutangaza kwenye Blog. Mimi na wenzangu kibao tuliokuwa huku Viwanja HATUKUJUA RAY C ni kitu gani hadi MICHU alivyoanza kutoa Picha na shows zako hapa. SASA MNYEKUU UNAJIITA CELEBRITY WA BONGO THEN UNATAKA PRESS IKU-TREAT UNAVYOTAKA WEWE...?? WAPI NA WAPI. KAZI NZURI MICHUZI ONGEZA LIBENEKE!!!

    ReplyDelete
  21. RAY C KASHINDWA KUVUMILIA MADONGO KUTOKA KWA WADAU!MICHUZI KAMA HUKUPATA RUHUSA KUTOKA KWAKE KWA NINI ULIWEKA PICHA ZAKE?HALAFU INAONEKANA UMECHUKIA SANA!!

    ReplyDelete
  22. Michuzi, sisi waHehe tuna msemo unasema "Navalonge Swela" yaani hata wakisema (ni) sawa. Naye Ray C akiwa a fellow mnyalukolo analijua hilo.

    Vilevile Michuzi, mwambie Ray C hili - "Ndimu gaye shida!!" yaani huna haja na shida hii au hutaki shida hii.

    ReplyDelete
  23. Kaka Michuzi pole kwa hayo marufuku uliyopigwa ,,,kwakweli lazima hata ingekuwa mimi ningelichukia, we mtu mzima na maisha yako, eti kimtu kinakuja kuona kama vile unajitafutia umaarufu kwa kutumia jina lake,,hahaaa, inanichekesha, wachana naye,,Mjinga,na hana ADABU, ..hana mpango,kwanza angewacha kuimba miaka japo 2 aende akasome (ingawa wote twajua atadisco mwishoni) lakini shule imsaidie awe civilised.TUKO UPANDE WAKO KAKA,,KEEP UP THE GOOD WORK NA ENDELEA KUJENGA JINA LAKO ZURI .WEWE NDIO CELEBRITY HUYO RAY C NI KIRUSI KIMEINGIA KWA BAHATI MBAYA NA KITATOKA MUDA SI MREFU.

    ReplyDelete
  24. Huyo rei c kupata visa za kuja ulaya anadhani pesa za madafu alizonazo ni tajiri.... ajui kuwa mie simpendi wala sipendi nyimbo zake siwezi hata lipa centi moja kumwangalia huku ulaya au tanzania. anakuambia utoe habari zake ana adabu basi mwambie atutaki kujua na soon atarudi kukalia mkeka.

    AJUI KUTAFUTA WATEJA NA MASHABIKI.. HII INASIKITISHA INAONYESHA KIASI GANI WA TANZANIA WENGINE WANATUPA PICHA YA MAFALA KWA WENGINE. POLE MICHUZI WEWE NA YEYE WEWE NI BORA TUNAKUJUA...

    YEYE AKITAKA TUMJUE BASI KAMWE HATUTAMJUA,

    RAY C UKISOMA HII POLE FUNGUA WEBSITES UONE HATA STARS WA NIGERIA WANAVYOJULIKANA WAO KUSAFIRI KUIMBA ULAYA NI KAMA WAPO MTAA WA NYUMA NA HAWAWEZI ONGEA UTUMBO HUU. KAMA UELEWI NACHOSEMA BASI NENDA ANGALIA ZA MAREKANI UONE.

    NAOMA POLE MANAGER WAKO NAE HAJUI KUKUFUNDISHA. UKIJA ULAYA TENA UTAKUWA MWENYEWE KWENYE HALL.

    USINDWE MAISHANI KWA KUMSEMA MICHUZI WETU. AMINA

    ReplyDelete
  25. Pole sana kaka Michuzi, imeniuma sana hii MARUFUKu, nimemfikiria Ray C then nikakufikira na wewe nikapata kitu fulani kilichoniuma sana, hasa kwa jinsi unavyoheshimika katika media! Isitoshe imenifanya nimkumbuke sana marehamu Amina Chifupa kutokana na kuvumilia yote haya, Dah sisemi tena!

    ReplyDelete
  26. Mwe wajameni mdada Ray C kesha choka, na ni mchovu hasa. Mwenye macho mazuri kaona tofauti ya Ray C hapo nyuma na Ray C hivi sasa!!! Kwa tathmini ya haraka haraka mdada labda ana kaujumbe ka siri ambako asingependa kawe bayana na badala yake kapiga mkwara wa embe mbichi kuanguka kwa upepo.. Tee heee.... Michu endeleza libeneke waache wanaosusia media tuwaone watafika wapi ... bado atarudi hapa hapa kwenye blogi ama kwa habari nzuri ama za huzuni!!!! aDk

    ReplyDelete
  27. Michu
    Bro Michu, Ray C ndo kati ya wale wasanii majuha ambao kila siku nasema hawajui kuwa Sanaa kazi hivyo kuwa na kipaji ni sawa lakini ELIMU ndo muhimu zaidi. Kukosa kusomea hata mwezi mmoja maana ya kuwa msanii ndo tabia kama hizi. Haelewi maana ya mahusiano ya/na jamii (Public Relations).
    Ray C anapata nafasi ya kukukanya kwa sababu anakufahamu, ushamba wake haumwonyeshi kuwa mwandishi wa blog anaweza kuandika na kuweka maoni hata akiwa Greenland, achana nae tena bora sana tu maana nilikuwa nashangaa umaarufu uliokuwa unamsaidia kumpa ambao hana. Bro Michu hili ni fundisho ila pole usikasirike ndo ule msemo 'msanii bongo?'unapotimia

    ReplyDelete
  28. Msnii huyu anahitaji darasa.Meneja pia mshauri wake wanahitajika kumshauri msanii huy umuhimu wa matangazo kuwekwa hapa si tu anajitangaza Anajiongezea mashabiki pembe zote za Dunia hata hapa nyumbani kuna wengine wanaweza kumfahamu kwa kupitia blogu.
    PIA namshauri afungue blogu yake

    ReplyDelete
  29. Dogo bado mshamba huyo sasa mwacheni aone nini kitamtokea maana ni wachache sana waliokuwa wanamjua huyo Rey C huku ughaibuni leo watu wamemfahamu through this blog then she came here with a stupid decission, mpuuzi sana huyu dogo ataona kama watu tutahudhuria once anapopata chance ya kuja kufanya show huku nje ya nchi
    Grown up dogo matangazo ndo yanatufanya tuje kukuangalia na upate angalau vipesa vya kwenda kutanua bongo na kukunulia vichupi unavyotuonyesha...

    ReplyDelete
  30. Huyu ndio zake ananata sana sijui anachoringia ni nini haswa?

    Alikuja Jersey hivyo hivyo too late. Afadhali huko alifika saa mbili huku alifika karibu saa tano na nusu usiku akaimba nyimbo chache tu.

    Watu tuliendesha masaa matatu kumsapoti mbongo mwenzetu kuja anaingia na nyodo, mtu akimchekea anaona kama anamtaka vile yaani ni mshamba mshamba vile.

    Kulipa tulipe na bado tukae masaa sijui mangapi kumsubiri utazania mfalme.

    Hey it doesn't worth it kwenda kumuona mtu asiyeonyesha shukrani na upendo kwa watu wanaosikiliza muziki wake.

    Na anasema Michuzi uondoe vitu vyake kwenye blog yako. Honesty alivyokujaga USA nilisoma humu humu la sivyo nisingejua.. Sasa nani analost hapa....???Michuzi don't sweat the little things...hakupunguzii chochote huyu ....

    ReplyDelete
  31. Ninashangaa kwanini umeondoa ile picha. Sheria yako unaijua? Kama hiyo picha ulitumiwa na mtu aliyeingia kwenye shoo na alilipa kumwona. Basi you have all the right to put it. Yeye ameshakua public person. hataki kuwekwa kwenye gazeti au chombo chochote cha habari asiuze miziki yake na wala asicharge watu kuingia kuwona.
    Pia ukishakuwa public person huna right ya kukataa mtu aliyechukua picha jinsi atakayoitumia.
    kama angetaka watu wasichukue picha angetoa warning kabla ya show. Lakini kamwa watu waliruhusiwa kuchukua picha watakachofanya na hiyo picha ni juuu yao Copyright ipo kwa mwenye camera.

    michuzi acha uoga just know your right

    ReplyDelete
  32. Huyu RC kwanza hana hata meneja ndio maana hajui nini maana kutangazwa,ndio tatizo la wana muziki wa Darasa la saba.

    ReplyDelete
  33. WAZEE MBONA MMEGUSWA SANA.....KWANI VIPI.....yaani comments zimesahfika 32.....Ray C....unaona unavyoliliwa..yaani wamemaind ile mbaya.....Kilio ni kilio tuu....hata watukane vipi, jamaa wanaonyesha ULIVYOWAGUSA PABAYA

    ReplyDelete
  34. Sasa mnalia nini?.....binti keshawapiga STOP.....sasa kelele za nini?......nyie tena mlioko Britain...hiyo mizigo mnayopiga usiku kucha na hizo kazi mnazounganisha ili mmudu kulipa kodi...sasa mnapokutana na STOP ya Ray C naelewa mmekomeshwa kiasi gani

    ReplyDelete
  35. Anoy wa aug 9 8:09 & 8:14am ni RAY C mwenyewe COZ NOBODY WANT UR SORRY ASS IN THIS BLOG SASA UNAINGIA KAMA ANOY WEWE NANI MPAKA WATU WAKUMIND?? eti umepiga stop hahaaa naona huo mkorogo unakukoroga mpaka kichwani umechangayikiwa mnyalukolo mwenzangu. wewe ushataka picha yako itolewe lakini bado tuu unataka kuingia kwenye blog!! nyooo umekumbuka utamu eeh nyoooooooo nabado!

    ReplyDelete
  36. hii comment ya hapo juu ya annoy wa aug 9 5:24pm imenikuna mtima wangu maana nilikuwa nashuka chini na mimi nimwambie RAY C same thing kwamba eti comment zimekuwa nyingi watu wanakupenda,umemkomesha watu na hiyostop!!!!!??? acha longolongo binafsi nimekujulia humu ndani na tukikutana mtaani nitakupita tu labda uwe na baharia Moses Mo! kakutosa nini maana yule hataki kabisa upuuzi ndio maana unaanza kujihami.anyway Ray C mwanzo na mwisho kwajina hili kwenye blog yetuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  37. misupu weka password maana huyu changu anatuwekea ucku

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...