kocha wa staaz marcio maximo akipozi na wadau wa denmark

timu ilipokuwa huko kwa mazoezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani,huyo wa kushoto ina maana ni mtanzania ambaye kaamua kuzeekea ughaibuni?rudi nyumbani baba wajukuu tunakusubiri.

    ReplyDelete
  2. Hamna wazee wahindi wanaishi hapo...basi mwenzenu ndio hivyo kashahamia...don't worry we kijukuuu mind your life grandpa is enjoying his golden years

    ReplyDelete
  3. Hakuna wazee wa kichaga au kijita wanaishi hapo Dar?Kwa nini hawarudi huko kwao migombani?ebo ,plzz mwacheni mwenzenu akamue unyamwezini, kamua baba kwanza unakula mapension na mabenefits kibao bongo hupati hivyo.The world is now a village bila hivyo tusingekuwa na akina Viera au Heskey huku,ndo hivyo umeshafika urudi bongo kutafuta nini??kila kitu shida tuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...