Home
Unlabelled
mechi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteJana nilikuwa nasoma blog ya Abdallah Mrisho, nikaona kuna habari ambayo imechapishwa kwenye gazeti na kwenye blog yake, kuna mtoto utumbo wake uko nje na mama wa mtoto anahitaji msaada ili mwanae akafanyiwe operation hospitali ya Muhimbili.
NAKUOMBA SANA KAKA YANGU, itoe habari hiyo kwenye blog yako maana inasomwa sana blog yako duniani kote, ili wasamaria wema wajitokeze waweze kutoa msaada mtoto akafanyiwe operation, mimi nikiwa mmoja wapo wa kutoa msaada.
Nimeshindwa kuelewa kabisa, kweli madaktari wa muhimbili wanawezaje kumruhusu mtoto atoke hospitalini hali utumbo uko nje? Kisa hana pesa?
Mungu akubariki sana kaka michuzi.
huo uwanja huko pembeni kwanini wameweka lami badala ya concrete...yaani wameharibu ile mbaya na ni ujinga tuu wa kutafuta kulipua kazi,wajinga hao hawana sense ya vitu vizuri pumbaf kabisa
ReplyDeletehey..
ReplyDeleteis this the most recent photo ? i mean coz i can see that the stadium aint ready yet..
please update!
Naelewa huu ni uwanja wetu mpya wa hapa DSM, ila naona bado uko kwenye matengenezo.....sasa Mr. Michuzi hili liuwanja likishakamilika ingekuwa vema kama management ikawa inahamasisha wakina mama waingie kwa wingi na vile vile tuhakikishiwe usalama wetu....si unajua TZ ya leo PESA imeshikwa na mwanamke....hivyo hatutaki karaha ya vibaka wanaojaza uwanja.....management ihakikishe inatupatia usalama wa posh cars zetu na kingine ni wahakikishe wamekong'oli kisawasawa bei za kiingilio kwenye sehemu zetu kwa vile hatupendi kubanwabanwa ati!!...ni hilo tuu..ASANTE
ReplyDeleteAnony wa 03:50:00 hapo juu; sio busara wala ujanja kujumuisha mambo yote bdugu yangu. Kwa vile hilo eneo linaonekana jeusi basi kwako wewe ni lami?? Ndugu yangu kweli limbukeni ni limbukeni tuu, sio vyote ving'aavyo ni dhahabu, unakumbuka? Kuna mambo ya "synthetic surfacings" ambazo zinawekwa kwenye "running tracks" na hizi zipo nyeusi, kijani, nk. Pia una uhakika gani kuwa kazi ndio imeishia hapo? Una uhakika hakuna "wearing course" nyingine itakayowekwa juu yake?
ReplyDeleteMh, wasukutuaji basi hata tuwe tunafikiri kuliko kuweka ulimbukeni wetu na kulaumu werevu, eti "wajinga hawa kazi kulipua kazi" unajuaje labda wewe ndio umelipuka kwanza??
Mungu ibariki Tanzania na watu wake......
kwa kifupi ni kwamba iyo running track ilishaisha zamani tu ila kuna cku filbert Bayi alisema haikuwa as per international standards za wanariadha therefore serikali ikabomoa track yote na wameanza upya so serikali iko makini na inajitahidi kusikliliza ama kukosolewa..
ReplyDeleteHii picha aliyoweka michuzi aliichukua mwezi may mwaka huu. Mpaka sasa kuna development kubwa saana imefanyika ikiwa pamoja na kuanza kuweka tatan katika sehemu ya kukimbili. Nafikili bila ya hawa akina Firbet Bayi kuja na madai yao ya riadha, Basi uwanja huu ungekuwa umeshakamilika, Kwa sasa hivi sehemu ya kukimbilia wamesimamisha ujenzi wake mpaka wamalize ku resolve hilo tatizo na watu wa IOC. Ukitaka kuangalia sehemu waliyoishia basi tazama picha alizopiga Kikwete alivyotembelea uwanja huo mwezi June mwishoni.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletenaomba msaada wako. Ningependa kwenda kuucheck mtanange wa Msumbiji na JK Boyz siku ikiwadia. wasi wasi wangu ni kwamba sijui seating arrangements ktk huo uwanja mpya ipoje?
tulijozoelea ka-uwanja ketu ka kijeshi kuwa na Jukwaa kuu, jukwaa la Kijani na Mzunguko. Sasa huu uwanja upya mpango unakua vipi.
./
Siyo mbaya uwanja umeshakamilika kwa mechi moja hakitaharibika kitu.
ReplyDeleteBasi kwa jinsi waswahili tusivyofugika hili wanja baada ya miaka sio mingi litageuka kuwa gofu.Mara utasikia wapuuzi fulani wamefungua nati na kuchukua baadhi ya vyuma(chakavu?)na kwenda kuuza. Sasa hawa tuwaite wajasiramali au wapuuzi tu?.
ReplyDeletePaa ya wanja hili ipo ktk stable equillibrium. Sasa hao kina karumakenge watakapofungua hata angalau nati moja tu basi tujue kwamba tutakuwa ktk hatari ya kudondokewa na paa na hapo ndipo yatakapofuata maafa ya kutisha.
Sambamba na hiyo hatari tarajiwa sidhani kuwa baada ya kuwa wazungu wametukabidhi hilo wanja kama tutaweza kulitunza kwa maana ya kutunza pitch, kulifanyia usafi na kutunza miundombinu mingine. Maana hukawii kuambiwa kwamba mara dawasa wamekata maji,tanesco wamekata umeme na upuuzi mwingine chungu nzima.
Labda haohao wazungu wakabidhiwe kulitunza hilo wanja vinginevyo sijui hali itakuwaje.Hata hizo spika na taa zilizowekwa hapo kiwanjani zitaishia kuwa mapambo tu.
Jamani tuamke tuwe makaini katika kutunza wanja letu lisivurugwe na hao wapuuzi! Tusitegemee wazungu kwa kila kitu. Tutakuwa tegemezi hadi lini?
naomba kutoa hoja
ndimi Tpaul(AGENT)
JAMANI MBONA WANA JANGWANI WAMESAHAULIWA? VITI VYA NJANO HAKUNA KABISA. KULIKONI? UWANJA USIFUNGULIWE HADI VITI VYA NJANO VIWEKWE. MBONA VYA SIMBA NA PAN VIPO? TEHEEEEETEHEEEEETEHEEE
ReplyDeleteMpangilio au uchaguzi wa rangi za viti sio mzuri
ReplyDeleteNamfahilia huyo Anon August 14,2007 8:45:00 kwa hoja zake hai kabisa.Pia nimekipenda Kidhungu cha anon August 14,2007 6:38:00 AM EAT.Si angeongea tu kimakonde tumwelewe.
ReplyDeleteMajita