toka serikali ya awamu ya nne kufufua upya michezo kila kiwanja siku hizi utakikuta kina watu kibao hasa vijana na watoto wakijifua. hapa ni kinondoni biafra

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Nakuona kaka unavyopiga Jalamba la nguvu. Nafurahia kuona libeneke linaendelea kama jana vile. Tuko pamoja.

    ReplyDelete
  2. Wanao miliki hivi viwanja watakiwa kushitakiwa kwa kuacha bila matunzo au wanyanganywe na wapewe watu wengine ili kuviendeleza.kwa kuvipa hadhi ya uwanja.

    ReplyDelete
  3. michuzi, serikali ya awamu ya nne inafufua/imefufua michezo kivipi?

    ReplyDelete
  4. Mazoezi muhimu, lakini usafi nao ni muhimu zaidi. Hao vijana wangepiga harambee ya kuokota uchafu kabla ya kuanza mchezo mbona ingekuwa super! Wahamasishe basi kaka...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...