Home
Unlabelled
mlimbwende...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is very creative.
ReplyDeleteNimesimama nikageuza ichwa nikamwona princess wacha bwana
Nimebinua screen, acha nicheke
ReplyDeleteKaka Michuzi kumbe ndio maana walevi wengine wakiwa Tinga tu wanaona sketi na wanataka ngono. Nimeelewa sasa kumbe wanakuwa wanaona ma-princess...LOL !!!
ReplyDeletedu bwana michu, huyo aliye kaposti hako kakatuni mpe pongezi sana, he must be very genious, kwanza naomba namba yake ili anichore nione sura yangu itakuwaje nikisha lewa chibuku lita tano.. wazungu wanasema "before and after"
ReplyDeleteI like it but dont you think that ingekuwa vise versa maybe ingeleta maana zaidi
ReplyDeleteSamahani naomba mnieleweshe, jinsi ya kugeuza hii picha nimeshindwa.
ReplyDeleteAhsante.
Haaaaa! Michu hii catoon kuna prof mmoja yuko Tanzania anaitwa Prof Possi aliwahi kunipatia hiyo catoon wakati akiwa Harvard University mwaka 1996. mpaka leo ninayo hiyo catoon. Duh! umenikumbusha mbali. Yeye aliitumia kama kifaa cha kufundishia. Waalimu wote wananipata hapo.
ReplyDeleteWewe anon unayeshindwa kugeuza hii picha.......kipi kigumu kwako....huoni kwamba wenzako wote wamepindua kompyuta zao ili wageuze hiyo picha......haya changamka
ReplyDeleteNafikiri hii picha iko sawa, inaeleza kwamba walevi wakiwa bar na hawajalewa/kuanza kunywa bia yoyote mwanamke wanamuona mbaya au mzee namna hiyo (Before six beer), lakini wakiwa tayari wamelewa au kunywa bia basi mwanamke yule yule wanamuona mrembo kupidukia (After six beer, hapondiyo usumbufu wa kuanza kumuita ita dada wa watu unaanza and then...........NGONO.
ReplyDeleteMzee wa TBS
Aliye design hii kitu must be a very genius person, congratulations!!!!! hii inaweza kumletea pesa kibao ifanyie kazi mzee.
ReplyDeleteMichuzi maswala ya copyright ya hii kitu ni vipi?
Anony unayetaka kueleweshwa kuhusu kurotate picha, copy hiyo picha paste kwenye ms word then, weka icons za drawings, then from there there is one icon for rotating. Click the icon the picture will start rotating. Thanks
ReplyDeletewe unayeuliza jinsi ya kuangalia hii picha geuza juu chini kama vile unavyosoma hayo maandishi. Kama unatumia laptop itakuwa rahisi ila kama ni desktop kazi unayo....tena kama uko ofisini ndo balaa zaidi. hahahaaa!!!
ReplyDeleteHiyo picha it's not necessarily talking/potraying a woman. It could be anything that someone is viewing when they are sober Vs when they are drank. Inawezekana ikawa mwanamke pia anavyomwona mwanamme na pia mwanamme anavyomwana mwamke. Au vitu vingine dhahabu Vs makopo etc. Huyu mtu aliyetengeneza picha ametumia "irony" kuleta maana kwa kiswahili wanaita mafumbo etc.
ReplyDeleteAsante sana annony wa 2.02pm kwa maelezo yako mazuri, nimeelewa na nimefanikiwa kucopy, paste then nikarotate. Nimemuona binti mmoja mrembo sana!
ReplyDeleteAhsante!
HUNA HAJA YA KUGEUZA SCREEN YAKO GEUKA MWENYEWE OR PANDA JUU YA MEZA THEN CHUNGULIA
ReplyDelete