Familia ya Chokara Wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao Salome Catherine Kalaghe Chokara kilichotokea Tarehe: 11/08/07 saa 20:25 usiku hapa Berlin, Ujerumani.

Msiba upo katika anwani;

Schonwalder Str. 33
10585 Berlin
Spandau

Kwa mapenzi ya Mungu, tunaomba michango kutoka kwa ndugu na marafiki, pamoja na waTanzania wenzetu popote pale mlipo, ili tuweze kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani, Tanzania. Ndugu na marafiki, twaweza kuwasilisha michango yetu kwa ndugu zetu, Mary, Mganga, Macky au Tom, nyumbani kwao katika anwani;

Schonwalder Str. 33
10585 Berlin
Spandau

Pia unaweza kuwasilisha michango kupitia account ifuatayo:
Deutsche Bank
Jina: Thomas Chokara
BANK CODE: DE08100700240
ACC No: 528358501
SWIFT CODE
: DEUTDEDBBER
Jitihada zinafanywa ili tuweze kusafirisha mwili wa marehemu kati ya siku 7 hadi 10 zijazo (Kuanzia tarehe 11/08/07).

Vile vile unaweza kuwasiliana na wafiwa kwa namba zifuatazo Ujerumani;

+49 303 5108 501 (Mary Chokara – Landline)
+49 174 6386 963 (Mary Chokara – Mobile)
+49 176 6700 2738 (Thomas Chokara - Mobile)
+49 306 80561 399 (Mganga Chokara - Landline)
+49 179 739 4266 (Mganga Chokara – Mobile)
+49 176 6511 2330 (Francis Chokara - Mobile)
+49 176 6806 0642 (Macky/Rose Chokara - Mobile)
Kwa ndugu wa UK wasiliana na:
+44 797 0531 161 – Denis Kadito (Mobile)

Asanteni Sana, na Mungu awabariki

Thomas Chokara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. poleni sana kwa msiba wa mama Mungu amuweke mahali pema peponi AMEN: Mbona familia nzima mmehamia huko kuna nini jamani nyumbani Kwenu Mwanza hamtaki kukaa kabisa maana sisi majirani zenu tunashangaa mmeitelekeza nyumba

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA WAFIWA

    ReplyDelete
  3. DUH! pLOENI sANA wAFIWA. mOLA aMUEWEKE mAHALI pEMA pEPONI mAREHEMU.
    lAKINI hOFU yANGU kUBWA NA hII bLOG nI mICHANGO.nADHANI sASA
    iNAONGOZA kWA mICHANgO nA kWA jINSI wABONgO wENGI wANAISHI uGHAIBUNI, nADHANI tUATENDELEA kUSIKIA wIMBO hUU kILA kUKICHA.
    kINACHONISHANGAZA mIMI uKOO mZIMA wA wAFIWA uPO uJERUMANI kULINgANA nA nAMBA zAO zA sIMU. lAKINI nD'o hIvYO tENA uKISEMA uTAAMBIWA uNACHONgA aU tUNAPENDA kUSAfISHA vINYWA. aH. hAYA bWANA aSIFIwE.

    ReplyDelete
  4. Mtindo huu wa kuanika akaunti kwa ajili ya michango, itawatokea puani siku moja.
    Kama Michuxzi aliweza kutumiwa email na matapeli na kuifanya Blog yake kusinyaa kwa muda, huenda jamaa wakafanya hivyo haraka iwezekanavyo.
    Kumbuka hii mijamaa ina ndugu zao inafanya kazi katika mabenki makubwa. Wanaweza kuiba maelezo yenu yote na kufanya vitu vyao.
    Kama mnabisha, waulizeni Waingereza wanavyofanyiwa kitu mbaya na Wahindi.
    Kuna mtindo wa kampuni kadhaa za UK kuanzisha vituo vya kupokea simu India au Afrika Kusini.
    Jamaa wanazama na maelezo muhimu ya watu na kufanya madhambi kwa mambo mbalimbali. Tujihadhari sana na hii tabia.
    Tufanye kama zamani. Msiba ukitokea unatangazwa kama vile RTD. Mambo ya HARAMBEE yapo Kenya na Bongo nako watu wanataka kuiga, tutaibiwa sana. WATCH OUT...SCAM

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wafiwa mwenyezi mungu awajaze faraja.

    ReplyDelete
  6. Eee Nzambe. Likolo na ngoso NZambe.Sambui ye me nakala kasalaki Kibunda.Kolo na ngai, likambo na ngai, makassy na ngai, ovundi na kiti ya motema na ngai. Libala ya isayela nakosika. Balebi banakesa position kalayi mbongo ababi ti kikombo. Babaloka na mbongo basiki na mbongo.Minango sekili boso. Ok Ok nini tala Opongusi masinite, kasi nala biyi nayo ngolo nakamuki. Nzambeeeee

    ReplyDelete
  7. Michu inaonekana moderation yako iko biased, hebu niambie hiyo lugha ya "Nzambee" inapanda, maana usijekuwa una approve maoni ya kutukana kwa kilingala japo siamini kama hicho ni kilingala au msanii kakopi maneno ya kina Tabulei na wenzake hapa, Kazi ipo ngoja nami ntakutumia "kisoninke"

    Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  8. POLENI SANA KWA KUFIWA NA MAMA YENU MPENDWA. MICHUZI PLEASE ANGALIA COMMENT ZINAZOFAA NDIYO UZIWEKE SIO MTU ANAKURUPUKA TU ANAKOKUJUA ANAANZA KUTONGELEA LUGHA ZISIZOELEWEKA. NA KAMA NI MATUSI BASI mWENYEWE!!!!!. PIA HUYO ANONYMOUS ANAEONGELEA FAMILIA NZIMA KUHAMIA HUKO KWANI KINAMUHUSU NINI KAMA ANAONA NOMA KUCHANGIA BASI AKAE PEMBENI SISI TULIGUSWA TUTACHANGIA.

    ReplyDelete
  9. POLENI SANA NDUGU ZANGU. NIMESIKITISHWA SANA NA MSIBA MZITO KAMA HUU. NDUGU ZANGU KWA PAMOJA TUMUOMBEE KWA MUNGU MAMA YETU MPENDWA WETU BIBI CHONGE AKAPUMZIKE KWA AMANI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO.

    MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI

    AMINA.

    ReplyDelete
  10. Pole Maria na ndugu zako kwa msiba wa mama.
    Wafiwa wameomba michango kwa ajili ya kusafirisha mwili wa marehemu mama yao. Hakuna aliye lazimishwa, kumbukeni ni OMBI tu.

    ReplyDelete
  11. Jamani bibi Chonge wa watu,aliteseka sana wacha akapumzike kwa amani ya bwana,ingawa tunamhitaji bado ila Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.Mary pole sana na endelea na moyo wa upendo ulioouonyesha toka kwa mama Yako mzazi kwa kumchukua toka afrika na kumpeleka Ulaya na kumuangalia kwa karibu sana,Mungu atakupa Neema na malipo yako utayapata.Tuko Pamoja na tunawasubiri Tanzania huku kwani tunakesha kuwasubiri hakuna jinsi..Poleni sana

    ReplyDelete
  12. Big support kwa anonymous hapo juu. unataka changa hutaki au huna kaa kimya. mambo yataendelea tu bila mchango wako isiwe tabu.

    ReplyDelete
  13. utawaweza watu wengine wakiona tangazo la mchango wa msiba kwao shida lakini kwenye unywaji anamwaga pesa wape wote pale. subiri hayajakukuta na wewe. iko siku yako sio kwa namna hii bali kwa namna nyingine utaomba mchango shenxxxx taipu.
    POLENI SANA WAFIWA MAMA YENU ATAFIKA TU AFRIKA KWA MSAADA WA MWENYEZI MUNGU NA WALIO NA BUSARA NA HURUMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...