Ndugu wanajumuiya,
Ninasikitika kuwafahamisha kuwa mwanajumuiya mwenzetu Roycana Mungai amefariki dunia leo, Ijumaa saa 12 jioni huko Columbus, Ohio baada ya kuugua kwa muda. Habari kamili za kuhusiana na shughuli za mazishi zitatolewa na familiya ya marehemu hapo baadaye.
Hapa Dallas msiba utakuwa nyumbani kwa Anitha (dada wa marehemu) na Rumadha Fundi. Address ya kwa Bwana na Bibi Rumadha ni; 8932 Wayne St, Aubrey, TX 76227.
For more information please call;
Rumadha Fundi - 469-544-6380
Anitha Mungai - 214-435-8846
Paul Mungai - 214-929-1327
Evans 214-564-0222
Kama kawaida yetu wakati kama huu, tunaomba tujumuike kuwafariji wenzetu. Kina dada tujaribu kuleta vyakula na kina kaka tulete vinywaji. Kutoa ni moyo. Mungu amuweke dada Roycana Mungai mahala pema peponi, Amen.
Mwanajumuiya Godfrey Ndagala
kwa niaba ya jumuiya ya watanzania
Dallas, TX.
Ohh!! Sorry Anita kwa kumpoteza Roy. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema
ReplyDeleteooh my God, life is too shot! R.I.P Roy, upole wako na upendo kwa wote, hukujali maskini wala tajiri. R.I.P
ReplyDeletePoleni na msimba jamani.
ReplyDeleteNa je wadau wa Minnesota mmepona na daraja hilo?
Rest In Peace, my sister!
ReplyDeleteZahir Ali Zoro once sang "Wanaopendwa na watu wote hufa angali vijana"
Mungu amuweke mahala pema peponi.
dah poleni sana tuko wote kwenye huu wakati mgumu , mungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDelete