jk akimpokea rais wa msumbiji hivi majuzi. sijui nani atakuwa anacheka

siku taifa staaz zao zitapokutana septemba 8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MUNGU IBARIKI TANZANIA, nawaombea wachezaji wapige boli vizuri , angalau kombe la mataifa ya africa tutaliona, shime tuwahimize vijana wetu ,

    ReplyDelete
  2. Naona raisi wetu amesahau kuacha kifungo cha mwisho cha suti yake...vipi wapambe wameshindwa kumsitua?

    ReplyDelete
  3. Kuacha kifungo means asikifunge kifungo?, why noy huyo Wa Mozambique ndio asifunge kifungo wakati anatembea, hajakaa? Kifungo hufunguliwa mtu akikaa kitako, na hufungwa pindi anaposimama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...