dah! yaani dereva wa ndege ya watani wetu katufanyia mtimanyongo kweli kwani kapita kilimanjaro spidi halafu kwa mbali hata snepu nzuri nimekosa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hiyo sio dala dala Issa, speed maana yake nini wakati pipa lipo kwenye cruise?

    ReplyDelete
  2. Duh, Michuzi umeshazoea Mambo Ya Kuchimba Dawa Nini Ukiwa Unatoka Kwenu Mwakaleli Kwa Kina Mwafilombe!!...

    Izz Wa

    ReplyDelete
  3. ISSA KAMA UNATAKA KUFA JIUWE MWENYEWE WAACHE ABIRIA NA NDEGE YAO, WENDELEE NA SAFARI ZAO.

    ReplyDelete
  4. Issa huwa inasemekana kuwa ndege ikiruka juu au karibu karibu na hilo tundu la Mlima Kilimanjaro inavutwa na kudodondoka. Labda ndo maana Rubani kapita mbali kiasi. Halafu si unajua tena hao wenzetu wameshadondosha ndege mbili kwa hiyo lazima wajichunge sana wasije kuharibu jina la shirika lao.

    ReplyDelete
  5. Vipi, view ilikuwa poa from the Kenyan side?

    ReplyDelete
  6. anon August 8, 10:46:00 lol lol lol.
    Mie sina mbavu, wahahahahaha.

    ReplyDelete
  7. C'on Bro michuzi, sema labda ulikaa upande tofauti na view, so Pilot alivyosema mlima huooo, ukachelewa kwenda the right side kupiga picha, mbona sie wenye vikamera vya domestic use tunaupata fresh ingawa ndege inapita mbali na of course with a high speed. Iwe wew mwenye proffesional camera?

    ReplyDelete
  8. Michu wadau wa Arusha wanadai wamekuona unapita maeneo ya Sanawari ndani ya basi la akamba, unaelekea Dar, sasa hiyo snapu umepiga vipi kakangu? Au ndiyo mambo ya hivyo ndivyo sivyo!?

    ReplyDelete
  9. Michuzi.. wamekuweza kwenye hii... wabongo kwa madongo, NIMEWANYOSHEA MIKONO!!

    I have a reason to believe hii picha kaipiga mwanyewe kama unatumia Linux angalia properties imepigwa tarehe 7/8/2007 kwa kutumia ka-kamela ka 7.2 megapixel (nothing Professionally bout Sony DSC-P200 cyber shoot)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...