zimebaki takriban siku kumi kabla miss tz 2007 hajachaguliwa kutwaa taji toka kwa wema sepetu mshindi wa mwaka jana. kila mdau anajiuliza endapo kama mlimbwende wetu mpya ataweza kufikia pale alipofika nancy sumary ambaye mwaka 2005 aliibuka kuwa miss world afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hakuna kitu hapo sioni mimi kwa macho yangu

    ReplyDelete
  2. Anon august 14,2007 11:26:00 PM EAT huoni kitu hapo ina maana hata picha ya Nancy nayo umeona peupe? Oooh ndg yangu nunua miwani una matatizo ya macho.
    Majita

    ReplyDelete
  3. Jamani its like this - kwanza naomba kuwasifia dada zangu wa kitanzania. NI WAZURI nimemuona mmoja tu ambaye kwa kweli alikuwa mbaya in my entire life - i am almost 40 years now. Ukikosa uzuri wa mwili basi ongea nae tu utapata kitu ndani.with Nancy Sumari -SHE IS EXCEPTIONALLY BEATIFUL!dont make a mistake hapo.

    ReplyDelete
  4. Anon august 14,2007 11:26:00 nimejibu swali la michuzi maana yangu hakuna yoyote atakae weza kufikia kwa Nancy kwajinsi nilivyoona warembo wa mwaka huu.mwee naona kiswahili changu kigumu

    ReplyDelete
  5. Anon, ulitaka kuona nini? Majaji na wapiga kura duniani waliona. Acha mtazamo finyu, na mtimanyongo mliouzoea! Ndiyo maana hili linchi haliendelei - badala ya kupeana tafu kama wengine, tunachukiana kwa maendeleo!

    ReplyDelete
  6. huyu ndio yule yule ana nywele fupi sometimes? mwenye sister anayeimba? Au nimekosea? Naomba kuuliza msije mkanitemea mate humu.....kwa macho yangu naona wako tofauti sana kama ni mmoja kwenye hii picha.

    ReplyDelete
  7. Kuna watu wana donge sijapata kuona, kweli majaji duniani waliona iwe huyo kiumbe mmoja tu asione kitu. Kaishiwa la kusema huyo. Nancy ni mzuri kataa kubali bado ni mzuri tu.

    ReplyDelete
  8. Mama you are Cute!!
    God went over time for making you.

    ReplyDelete
  9. Mbona mimi namuona yuko kawaida tu..Hii picha anybody could look like that. Labda figure yake mimi simjui wala sijawahi kumwona..lakini kwa picha hii ...ni yakawaida tu...sio yakutoa macho watu....M
    sio nasema kuwa ni mbaya lakini sio extremely woooow

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...