usiku huu tumechapa nyama choma kwa sima sehemu iitwayo 'buffetpart' njia ya kuelekea kibera.... acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. It is supposed to be 'Buffet Park' and not Part!

    ReplyDelete
  2. duh!wacha anenepe anakula sana michu huyo atakufilisi sana mana bora ungeoa kijijini kwenu lakini huyo hata bajeti haijui siku ukichacha utajiju. ataibiwa na mwanaume mwengine itakua kama kisa cha mpemba.UTAJIJU MICHU DONT SAY WE DIDN'T WARN YOU.BUT WE DID,DIDN'T WE?

    ReplyDelete
  3. sasa michu wewe unatuchanganya, ni yupi mai waifu wako yule ulompiga picha kwenye ndege au uyo unaejichana nae apo?

    ReplyDelete
  4. Alas! Kumbe shemeji ndo huyu! Sasa ulikuwa unabana nini?
    Anyway, kila la heri ktk vacation yako.

    ReplyDelete
  5. "HALAFU BRO MI-SOUP WEWE HUPATI MVINYO NINI AU NI ZUGA?NIMECHUNGUZA KILA PICHA ULIZOKUWA KWENYE MAJICHANO UNA KOKAKOLA KWA PEMBENI.WANASEMAGA WATU WASIOKUNYWA WALA KUVUTA SIGARA KWA TOTOS HAO HAWAWEZEKANIKI, NA WEWE NI MMOJAWAO AU?

    ReplyDelete
  6. Naona Kaka unaturingishia huo msosi, ipo siku tutarudi nyumbani tutakula na sisi, ila sio siri udenda umenitoka.

    ReplyDelete
  7. WATU WA COCACOLA NI WAKUOGOPA KUOA KILA SIKU KAMA HARUHUSIWI MKE WA PILI BASI UTALETEWA WATOTO NDANI MPAKA UTAMKIMBIA.

    ReplyDelete
  8. mmmh michu huyo ndo mai wife wako,alilililiiiiiiiii,hongera!
    mmmh mzee mzima waganda noma yaani hata hujamaliza kula washakuletea Bill tena kwene hicho kiglass cha kulia hapo,wana uhakika gani hutaongeza tena!! ila kwa mwendo huo dona kavuuuu hata halina kachumbari usingeweza kuongeza!
    waambie waganda wanunue bill books!

    ReplyDelete
  9. duuuh!!!!!!! kazi kwelikweli, mbona shem anatumia mikono yote miwili kwenye kula au nyama ilikua kubwa sana, mfundishe basi zile za kiswahili,

    ReplyDelete
  10. Mfundishe usafi wa kula huyo mkeo mdogo.

    Mkono wa kushoto kwa waswahili huwezi kutumia kuwekea nyama mdomoni mkono wa kushoto ni wa kuchambia mavi chooni ukisha kunya.

    Mwambie asirudie tena kutumia hilo kono la kuchambia kuwekea chakula mdomoni waislamu tutamtangazia fatwa.

    Anachofanya hapo ni sawa na kuweka mavi na nyama mdomoni.

    Huwezi unganisha mavi na chakula maruhuni nyie wewe na mkeo.

    ReplyDelete
  11. Du! sasa hio sembe ama dona? Tufafanulie Kaka Michu!

    ReplyDelete
  12. michu mbona wakunja sura? Nyanya chungu nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...