hii ni sasa hivi mtaa wa azikiwe karibu na picha ya bismini. konda anamuomba jamaa waende chonjo wale dili kabla trafiki hajaleta noma....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hiyo imo..."kumalizana" inaruhusiwa

    ReplyDelete
  2. Hivi hizi ajali Tanzania zitaisha lini? watu wako katikati ya mji wanakimbiza magari mpaka wanawagonga waendesha pikipiki, watembea kwa miguu, hivi kwa nini Tanzania tusithamini maisha yetu? Komesheni hii tabia kwa madereva.

    ReplyDelete
  3. Tanzania bwana!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi wewe ni sharp-shooter aisee. Haya matukio huwa hayatokei mara mbili na kama kamera umeacha nyumbani ndio basi tena.

    Hicho kichwa cha habari hapo juu kimenimaliza mbavu zangu zote aisee. Cheki konda alivyopoteza pozi halafu jamaa wa pikipiki ndio haelewi kitu kabisa inaelekea alitoka hom na buku shing' tano tu. Watamkoma.

    Dereva ndio anashuka baadae, muoga sana jamaa.

    Bonge la picha, hii ni exclusive man.

    ReplyDelete
  5. Ngugu yangu usikubali hawana maaana hao makonda..kwani huna PISTOL? wafanyie kama bro Dito hiyo ndiyo dawa...ha ha haa!!!wadau tulieni I am joking nawaona mshataka kurusha madongo.

    jamaa kubali yaishe chukua kidodogo

    ReplyDelete
  6. Mweeee wacha watu wa chini nao wafanye ma deal yao, maana mambo ya madini hawayawezi. sioni sababu ya kuacha kupokea rushwa au kutoa. Maana matawi ya juu ndio yanatufundisha, Kila mmoja anajua madhara yake, lakini hata hivyo kwa sasa ni utajijuuuu, pokea au toa bora usikamatwe.

    Mweeeee acheni na sisi tule virushwa vyetu vya mia tano bora siku ziende, Mungu saidia hadi hapo serikali na matawi ya juu watakapoacha huo mchezo.

    ReplyDelete
  7. KERO KWA CRDB

    Jamani hizi ATM zinztupa taabu sana sisi wateja wenu, mtu unafika benki unakuta mshine zote hazifanyi kazi,kwa mfano unaenda Azikiwe unakuta machine hazifanyi kazi unaenda Holland hivyohivyo, na mtu una shida ya haraka inabore sana kwa kweli.
    Kingine tuwekeeni ATM sehemu zingine mbalimbali kama wenzenu wa NBC ziko kila mahali siyo mtu ufunge safari upande daladala mpaka wapi sijui.

    Ni mimi Mdau.

    ReplyDelete
  8. michuzi hapo ulikuwa umepanda daladala gani? au ndo hiyo iliokuwa inaenda vingunguti?

    ReplyDelete
  9. Ebwana ehhh hiyo dereva kachochea breki mara mbili ya kwanza holla ya pili holla ya tatu holla mwisho wake kajikuta kadingding the piki piki jamaa mwenye za piki piki doesnt want kuelewaz alikuwa katoka kwa kaka yake kukopa kamkuta hayupo konda mtamkoma huyo mfanya kazi wa bandarini

    ReplyDelete
  10. YEBO YEBO YEBO

    KUMBE BADO ZIPO ANGALIA KONDA KAVAA YEBO YEBO YEBO ZA NJANO SI ZA KWAKE JAMANI LAKINI YEBO YEBO HATA KAMA JOTO LINAMUUMIZA YEBO YEBO SI KANUNUA MWENYEWE YEBO YEBO
    SAFI SANA KIJANA YEBO YEBO MBONAANA ZILITEREZA KWENYE PEDAL YEBO YEBO ZINABADILIKA SIZE KWENDA NA HALI YA HEWA HASWA WAKATI WA JUA KALI KUTOKA NUMBER 8 HADI 10 YEBO YEBO

    ReplyDelete
  11. NJIA TATU HIZO,MAMBO YA NJIA TATU HAYO, NA MBADOOOOOO.

    ReplyDelete
  12. he he he he heeeeeeeeeee, mshangaoo acha utani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...