
Michu,
naamini weekend yako inakwenda poa kabisa.mimi ni moja ya mashabiki wakubwa wa blog yako kiasi kwamba imefikia point umeniinspire mpaka na mimi nimeamua kuja na idea yangu.Ni furaha yangu kukujulisha kwamba nimeeanzisha kablog kangu kanakoiitwa Simuyangukamera ambapo nitakuwa napost picha nilizopiga kutumia simu ya mkononi. karibuni wadau wote kunitembela hapa: http://simuyangukamera.blogspot.com/
Ndugu yangu basi change hiyo color kwenye blog yako. Nyeusi haifanyi mtu akatamani kuangalia hata picha mbili kwenye blog yako.
ReplyDeleteBlog na website zote zina the same formular. Color inaweza ikazidisha au kupunguza watu wa kuingia kwenye blog.
Asante
Afu anaongelea nywele utasema demu bwana
ReplyDeleteSHOW OFFS, UBONGO WA FLEVA na UBISHOLOLO mtupu ndo umejaa huko. Mweeh!
ReplyDeleteWatatembelea KIZAZI KIPYA tu huko!
Acha kusuka suka nywele na kisha kujisifia kama mwanamke!
ReplyDeletedogo huwa una idea nzuri tatizo kujiona bab kubwa kusifia pombe na kuweka picha ukivuta sigara what for, na tabia za kidada umeanza lini?mara tatu kichwa mara sijui lipstick acha umama dogo kaza buti kwenye mambo positive, sawa?halaf jikaze usijilegeze mamaa mama.ndo kakufundisha kusuka?
ReplyDeleteMwisho hebu kaa chini uweke ubunifu zaidi tutakusapoti.
acha umdebwedo cp jikaze mtu wangu utatoka mambo ya kike acha kuwa kam heavy mc prof geeze, no tabia za kimdebweeeedo utabonyezwa bonyeeeeeeeeeeee, na historia yako ya huko nyuma ibadilike iwe chafu
ReplyDeleteUsikute ni shoga jamani mwacheni mtoto wa mwenzenu
ReplyDeleteMHESHIMIWA ISSA HABARI ZA LEO MAALIM..WABONGO WANAJITAHIDI SAFI SANA..LAKINI HII BLOG YAKE UNAHITAJI .."..TOCHI.." WAKATI UNATEMBELEA. HIYO BLOG.."..GIZA TOTORO.."
ReplyDeleteMnamuonea wivu wa buree...King'asti kapendeza
ReplyDeleteBro Michu,kwa nini umetuwekea iyo ya Cpwaa yaani macho yananiuma balaa,inaumiza macho kupita maelezo sirudii tena,sijui camera au background ya blog mi sijui kama ni hivyo mbona sheria na mavazi ana backgroud nyeusi but inaonyesha vzuri,Dude like u called us kama unataka blog hapo sio,sio wote lazima tuwe na blog we imba tuuuuuuuuuu na uwe mwanablog wa Michuzi
ReplyDelete