kikosi kabambe cha slough cha huko ukerewe ambacho majuzi kilitoka sara 3-3 na reading

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duuh ndugu yangu PINTO naona maboksi ya ukerewe yamekukubali hadi yanakutoa upara.

    ReplyDelete
  2. mrundi, mnyarwanda, msomali, mzaire, msudani (darfur), ...

    ReplyDelete
  3. duh afya zao utata sana bro,hawakufanyiwa medical nini?kama hali ndo hiyo bora mrudi home tu,utafikiri darfur united?

    ReplyDelete
  4. watanzania ndio maana hatuendelei akiwa mrudi au mzaire wewe ina kuusu nini watu wamekuja kutafuta maisha acha ufinyu wa maadili hawa wazungu wenyewe mpaka leo wanakuja afrika kuiba mali. utabakii hivyo hivyo maisha yetu nawatoto zetu tumeshabadilisha kalaga bao.

    ReplyDelete
  5. kabisaa huu ni ufinyu, hatutaki kuona maendeleo ya wengine kabisaaa. wakiwa waburundi, wasomali, sudani etc inawaumia nini jamani, midomo tu na upuuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...