Home
Unlabelled
tanga kunani?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Napenda kuchorwa wanja. Lakini wa huyu dada umezidi. ahh, mpaka unachusha. Hongereni.
ReplyDeleteHii harusi ilikuwa kubwa sana na hizo rangi mbali mbali zilizopamba ukumbi wewe acha!!!!!!!!!! Mpambaji jifunze na ujue rangi za maharusi, angalia hii Blog uone wenzio wanavyopangalia rangi.
ReplyDeleteJamani, rangi hizo zilizopamba? mhh..... kazi kweli kweli...!
ReplyDeleteLaaakini,hua bongo kuna vituko sasa huyo mwanamke kapendeza au kachukiza?Wadau semeni wenyewe.
ReplyDeletebi zauji maa!!! nimependa sana design ya wanja wako wooh!! bwana maneno nadhani maneno yatamuisha kwa raha zako. kila la kheri katika ndoa yenu na baraka tele.
ReplyDeletesalaam kutoka ughaibuni newala.
Jamani naombeni kuuliza, kwenye kitabu cha msahafu cha Kiislamu kuna andiko lolote lililokataza kujichora katika miili yenu? Maana katika Biblia Mungu amekataza kujichora miili yetu kwenye Mambo ya Walawi 19:28,
ReplyDeleteMngejua madhara yake msingepaka, lakini Mungu awasaidie. Mwenye sikio na asikie!
mwanamke wanja jamani.hongereni
ReplyDeleteHivi jamani kumbe Waislamu nao wanavaa nguo nyeupe ka wakristo,kweli utandawazi hauchagui dini wala nini, hata ukiwa mbishi lazima utajikuta kwenye system mwenyewe.
ReplyDeleteWewe unayemsema bibi harusi kavaa nguo nyeupe ulitakaje? ulitaka avae baibui nyeusi kama mwanga?
ReplyDeletewewe anon wa 12:04,ujue kutofautisha wanja,heena na tatoo, heena ni urembo wa mwanamke ambao umeruhusiwa ila tatoo imekatazwa kwenye dini ya kiislamu,sasa huyu bibie alopaka ni wanja na heena unaruhusiwa na alieuliza kachusha au kapendeza ofcourse kapendeza, hongera maharusi.
ReplyDelete