mambo ya golden tulip hotel hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. PAZURI SANA HAPO TULIP!!
    LAKINI MICHUZI MIMI NALIA NA KAYUMBA JAMANI KASOMA KWA SHIDA AMEFAULU SASA HANA PESA YA SCHOOL FEES PLEASE FANYA MCHANGO

    ReplyDelete
  2. Golden Tulip, sio pabaya kwa nje lakini "Uzuri wa mwanamke sio urembo pekee"......ingia kwenye vyumba na mabafu yao, ni kasheshe mwili mzima wallahi!! manake wana "wall to wall carpet" choka mbaya!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...