baada ya kuiteka london twanga pepeta wanaelekea holland kuvunja jungu septemba 7 jijini rotterdam ukumbi wa party centrum de hooiberg kama inavyoonesha kwenye bango hapo juu. wadau wa huko kazi kwenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka michu, mbona hapa umetuchanganya, ni agosti 7, ama septemba 7. Maana agosti 7 imeshapita tayari.

    Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  2. soma bango lao,
    Michu alitaka kuteleza!

    Michu asante kwa ujumbe hapo ndo watoto wa nyumbani na wana Ukerewe watajifunza kuwa kuna vi-nchi vidogo visivyopiga makelele wala kujigamba lakini mambo yake hayana kifani!

    karibuni saaaaaaaaana!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Blaza Michu naona poster ina picha ya Ali Choki na tumembiwa ni Fulu Skwadi mbona choki hakuwepo? Sielewi fulu skwadi bila mwimbaji kiongozi???? Yale yale ... ya kibongo-bongo.

    ReplyDelete
  4. Blaza Michu, picha ina Choki lakini Choki NO! Au ndio full squard bila kiongozi?

    ReplyDelete
  5. Mbona hawaji kiwanja hao. Huku ndio tunaishi jamani acheni mambo ya UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...