Wanafunzi wa skuli ya wingwi asha issa (shoto) na bikombo bakari wakisoma utenzi katika sherehe za ufunguzi wa madarasa mapya ya skuli hiyo ya wingwi yaliyofunguliwa jana na rais wa zanzibar mh. amani abeid karume katika juhudi za kuendeleza elimu visiwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ..michu bwana anajaribu kubalance Zanzibar hawana mpya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...