jk akimwapisha mkuu mpya wa majeshi jenerali davies mwamunyange ikulu leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa muda mrefu tumezoea utamaduni wa kuwa Mkuu wa Majeshi amekuwa akitoka katika Mkoa wa Mara.
    JK amevunja utamaduni/mazoea huo/hayo.
    Sasa sijui itakuwaje huko.
    Wadau KUTIKI? MANG'ANA?

    ReplyDelete
  2. Mpumbavu wewe hapo juu kuna wakuu wa majeshi kibao walopita hawakutoka Mara na si JK aliowaweka.Labda ulikuwa bado hujaja Dar ulikuwa huko kwenu kanyigo.

    ReplyDelete
  3. MGUU PANDEEE..MGUU SAWAAA...MBERE TEMBEAA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...