miss world 2001 agbani derago ndiye aliyekuwa jaji mkuu katika miss tz 2007 pamoja na miss tz 2000 jacquiline ntuyabaliwe a.k.a klynn

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mmh! Jacqueline kazeeka sana!!!

    ReplyDelete
  2. Wewe anony 8:20! Acha wivu. Ukiendelea na tabia hiyo, jua hautaendelea maishani. As a matter of fact, i think she is looking drop dead gorgeous!

    ReplyDelete
  3. KLLYN AMA JACKIE HIVI NI WEWE NDIYO ULIMPIGA KIBUYU KINJE AMA HUYU BWANA ALIKUPIGA KIBUYU BAADA YA KUPATA SUBSTITUTE KABAMBE. NAKUSAPPORT WEE ANOY HAPO JUU MUDA UMEYOYOMA JACKIE WA LEO KWA KWELI KAZEEKA NI MKOLOGO TU UNAMSAIDIA KWA NINI JACKIE USIZAMIE HUKU KWETU LONDON UPEPO NA RAHA TELE LAKINI HILO VUMBI LA BONGO LAZIMA TU UPAUKE TENA NA MKOLOGO INAKUWA KAMA KULA MAHARAGWE NA KONYAGI... MICHUZI MPASIE HUYU DADA YETU

    ReplyDelete
  4. Hamna cha wivu wala nini, we humuoni kuwa kazeeka yani kidogo atamfikia Bi Kidude, kisa MKOROGO! Wasichana wa kibongo acheni mikorogo inawazeesha hamsikii. Yani 90% wanatumia mkorogo ukitafuta wenye rangi zao za asili wamebaki wachache sana.

    ReplyDelete
  5. HAHAHA KWELI WABONGO MNANICHEKESHA,MIMI NILIMUONA JACKY TOKEA AKIWA SHULE ALIKUWA NI MWEUPE NA MAMA YAKE KWANZA ALIKUWA NUSU MZUNGU INABIDI TU NICHEKE JINSI AMBAVYO CHUKI ZA BANADAMU ZINAVYOWEZA KUWAFANYA MTUNGE VITU MRADI TU MUMSEME VIBAYA HUYU DADA.HATA KIPOFU ANAONA KUWA NI WIVU HUYU DADA NI MZURI SANA.

    ReplyDelete
  6. Damn,klyinn looks even better that than Miss World!

    ReplyDelete
  7. Ngoja niwasaidie kidogo jinsi mimi nilivyoelewa, hajasemwa kuwa ni mbaya wa sura bali AMEZEEKA, au kiswahili hamkijui vizuri ndugu zangu? Hapendezi kama zamani kwa ufupi ni kwamba uzee unamnyemelea.

    ReplyDelete
  8. sasa kama amezeeka tatizo ni nini? ni kila mtu umri unavyoongezeka basi na maumbile yanabadilika sasa mnataka Jackie wa miaka kumi iliyopita awe sawa na wa leo..Jackie you re still super achana na hao wenye wivu wanatamani wafanane na wewe tuu mtoto wa kitutsi

    ReplyDelete
  9. Mmh! na kweli umri unamtupa mkono sasa. Ndiyo maana Kinje aliogopa kumuoa akaona aoe black rangi adimu, rangi tamu kama chocolate!! Aah weusi mzuri jama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...