Home
Unlabelled
alu lela u leila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Those were the days????? Oh my ....jamani hivi watoto wa siku hizi wanasoma hivi vitabu kweli? they don't know what they are missing.
ReplyDeletetunasoma mbna sema aviko wazi vingi vinauongo na nshaaangaika kusoma online ila coni cha ukweli
DeleteHIVI MICHU MBONA HIYO TITTLE YA PICHA UMEANDIKA KWA WASIWASI KAMA UNAOGA NJE?
ReplyDeleteSIO "ALU U LEILA"
andika "ALFU LELA U LELA"
hii itasaidia hawa watoto wa juzijuzi na wale wasiofahamu hivyo vitabu kuelewe unamaanisha nini.
au jina LEILA limekukaa sana nini?? au ndio jina la my wife wako nini?
ni hayo tu.
naomba kuwasilisha.
Umenikumbusha mbali sana. Utamu wa hadithi hizo haushi. Ni vema kizazi leo nacho kikauonja uhondo wa huu. Vipi vitabu vya Shaaban Robert vipo? Huyu Mzee alikuwa na maneno yenye hekima kwa kweli sijaona katika watunzi wa siku hizi. Jamani visomeni vitabu hivi. Mtapata mengi ya kuwasidia.
ReplyDeleteDuuh! long time! nakumbuka nilikifuma kitabu cha Alfu Lela Ulela at my College library..nilishangaa sana.. but it was one of the few swahili entries in the library... Je kuna mtu anaweza kunitafutia kitabu cha MFALME KIMA NA SHETANI MFUPA MWEUPE?? i think ilikuwa Japanese or Chinese stories translated. Magical!! Asante Michuzi..
ReplyDeleteNI ALFU SIYO "ALU" KAMA KAWAIDA YAKO UNAVYOCHEMSHA KILA SIKU. HUNA PROOF READER? UKIONA JAMBO UNAVYOKURUPUKA NA KUANDIKA HARAKA HARAKA SPELLING ERROR KIBAO. FYUUUUUUUUUUUUUS.
ReplyDeleteTranslation, please.
ReplyDeleteMizuri, these books filled my young mind with fascinating imaginations when I first read them in Kiswahili. Notwithstanding their revetting plots, I am intrigued as to why a Kiswahili book is titled' Alfu Lela u Lela'. Is this Kiswahili cha zamani for 'A thousand and one night'? If not, but a transliteration of an Arabic title, what was the point?
Wadau, help me.
Kuna mtu anaweza kunieleza, hivi nitapata wapi hivi vitabu? Au vile vya kina "Wagagag'gikoko" Tafadhalini wadau...
ReplyDeleteShukrani.
Michu, kama nikivihitaji hivi vitabu nitavipataje?? Kwani bado vipo madukani? Maana vimenikumbusha mbali sana. Ningependa niwaonyeshe watoto wangu pia.
ReplyDeleteOOOh my God! yaani kaka Michuzi umenikumbusha mbali sana, nakumbuka nilikua napenda sana hadithi za alf lela ulela. I wonder if I can still find any of these books. Do U have any idea where will I find them?
ReplyDeleteOhh dear me.......Michuzi sasa ndo tufanyeje sasa.....hivi vitabu jamani WATOTO WETU WANAKOSA UHONDO.........sasa Michuzi una wazo gani hapa......na ukishatupiga hilo changa la macho unataka tufanyeje sasa.....ohh my girl could love these stories....anyway sijui hata namna ya kuvipata hivi vitabu.
ReplyDeleteMichuzi asante kwa kutikisa kiberiti kumbe blog yako inatembelewa na vikongwe wengi tu maana pale juu ulipo bandika cinema halls za dar ya zamani na leo hizo hadithi one can tell kuna wadau wengi hapa ni jimama na jibaba.
ReplyDeleteSio mbaya kukumbushana zilipendwa. sasa mimi nina ka story jamani msinitume kwa Zeze eti hapa sio mahali pake wala msioshe vinywa ni hivi:
Thru blog ya michu nimekutana na my x wangu baada ya miaka mia na kenda kinachonishangaza zaidi ya kwamba kila mtu ana maisha yake ndoa yake lkn nimejisikia bado nina mpenda nateseka najificha nisi onane nae tena maana ni aibu asije akagundua, lkn ukweli ni huo deep down kuna ka feeling sasa sijui ni nini? au sijui ndo ka hypersensitiveheadoverhillsoldageloveneverdies?
hahaha uwiiiiiii I am serious
hi michuzi,
ReplyDeletenilipotea kidogo and am back now,
wadau habari za pilika pilika za kila siku,
msaada wadau, hivi hivyo vitabu ni vya zamani sana au shule yetu ilikuwa haina vitabu hivyo, manake mie sio mdogo hivyo, na sikumbuki kama nimewahi kusoma kimoja wapo, nimeanza drs la kwanza 86,
siku njema.
Na nyie vizee tupisheni hapa na vitabu vyenu vya kale. Hatukosi uhondo wowote, kwa sababu na sisi tunasoma vitabu vya kisasa. Mbona sisi hatusemi kuwa nyinyi mnakosa uhondo kwa kutokusoma vitabu vya kisasa? Mbona hatusemi kuwa mlikosa uhondo kwa kutokuwa na mtandao enzi zenu? Kuandika mabarua siku hizi hakuna, sisi ni mitandao tuu. Kila enzi wana goodtime zao za kivyaovyao.
ReplyDeleteAnonymous wa tarehe September 6, 2007 2:51:00 PM EAT, wasingekuwa hao "vizee", usingeweza kutamka hayo uliyoandika! Juzi ilizaa jana. Jana ikazaa leo. Leo itazaa kesho. Na kesho itazaa keshokutwa!
ReplyDeleteAsiyependa kujua na ku-"cherish" vya juzi, hajui vya jana, hajui vya leo, hatajua vya kesho na hatajua vya kesho kutwa, sawa na chombo kisicho na dira!
Wengine tuliona ya mkoloni m-Uingereza! Tukayaona yanaondoka tukiwa shule za sekondari! Hayo ya mitandao tunaweza pia kukufundisha! hayakuanguka kutoka mbinguni hadi katika kichwa chako na wengineo wenye majivuno, kama wewe!
Ukae ukijua kuwa kuna vijana wengi sana huko vijijini, na hata mijini, kwao hayo ya mtandao ni unayoyafurahia kwao ni "future shock". Na hata kama wakiyakaribia itakuwa ni "mirage shock"!
Maneno, kama yako hayo, ni "very unfortunate", kuyasikia kwa kijana wa leo!
Anony 11:38 kama unaishi TZ nitakuachia lakini kama upo nje ya nchi you are kind of stupid.
ReplyDeleteBongo wana right off mtu ukiwa in your late 20's. Wengine tulijaliwa kuwa na baba wasomi na hivi vitabu tumevisoma hata hatujaanza shule. Hivi ndio vitabu vya kujifunza kusoma nilipokua mdogo. Ingawaje shuleni sikukiona …kama kitabu kinaitwa juzuu au jizuu nilikisoma na miaka 5 to 6 na mpaka leo sijakisahau. Sasa kama wewe kubwa hivyo hujakiona au hujasoma hiki kitabu basi tena I am sorry to say this but umekulia kwenye illiterate family. Mtu ambaye yupo 20 yrs and below ndio anaweza kuniambia hajaviona hivi vitabu nitamwelewa. Kama uko below 20 yrs old sijui unafanya nini kwenye blog ya Michuzi nani kakwambia Michuzi ni teenager?
By the way I am 34 yrs old sasa kama mimi ni jibaba you need a serious therapy. Mtoto wangu is 7 yrs old na yupo home schooling na anafanya seven grade level. Sasa sijui utamwita na yeye jimama Unaweza ukawa mdogo lakini IQ yako kubwa ...What I am just trying to tell you is this, you need to think before you write somethiing down. Though people will not figure who you are but deep in your heart you are crying for help.
Hivyo vitabu mimi vitabu nimesoma nyumbani Kwetu. Sizani kama vilikua shuleni.
ReplyDeleteVitabu gani mnasoma? Hivyo vilivyokua mispelling? Vya hesabu vina majibu manne...
ReplyDeleteTatizo la nchi yetu hatujui kukuza urithi tulionao.. Watoto wa nchi zingine wanasoma vitabu kila siku na ni vyazamani sana. Lakini kwetu ukigusa cha zamani utaonekana mshamba...
Vitabu hivi viko vingi tu. Kwa wanaotaka kuvinunua waende kwenye ile Mall ya Mlimani Centre.Ukifika tu pale mlangoni utakae mwona muulizie.Vinafahamika sana tu hapo mall.
ReplyDeleteBwana Michuzi, tafadhali naomba uweke namba ya simu ambako naweza kupata vitabu hivyo vya alfu lela-u-lela. Nataka kujua bei yake ili niviagize, navipenda sana vitabu hivyo, lakini huku ughaibuni haviko. Niko serious Michuzi, fanya kweli hiyo namba ya simu O.K.? Please.......
ReplyDeleteNa wewe anony wa 12:42 acha matusi. Eti kama yuko tanzania unamwacha na kama yuko nje ni stupid kind of. Una maana gani, kwamba watanzania ndio stupid kind of. Wewe acha kuzibukia mambo ya kuwa nje, usione ni dili sana kuwa nje na kwamba ukiwa huko huwezi kuwa stupid, mbona wewe kwa comment hiyo naona kama uko kind of.
ReplyDeleteTuheshimu taifa letu bwana. Yaani unatukana watu wako hivihivi
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kwa kweli hii inadhihirisha jinsi gani hatusomi vitabu, utamaduni wetu wa kujisomea ulivyo wa ajabu.
ReplyDeleteHivi mtu anadiriki kabisa kusema hivi vitabu havikuweko shuleni kwetu?
Kama kweli wewe ni msomaji wakawaida kabisa, vitabu maarufu kama hivi ungelikuwa tayari umekwisha visoma.
Mimi kama msomaji sikuwa nina soma vitabu vilivyokuwa shule tu, bali hata katika public liabraries na vinavyopatikana katika bookshops.
Baadhi ya waosha vinywa ni kama makenge tu hawana utamaduni wa kujisomea kwa hiyo sishangai kuwaona waki-comment tu ili na wao wawepo kwenye msafara wa mamba.
Kama hujasoma hivyo vitabu basi iko mushkeli kidogo katika usomaji wako wa vitabu.
Nilisoma hadithi za alfu lela ulela wakati nikiwa darasa la pili. babu yangu alikuwa na nakala moja.Sindibad wa Hindbad. Ni simulizi tamu sana, lakini nina mashaka kama vitabu hivyo bado vyapatikana
ReplyDeleteHivyo vitabu mimi nimevisoma nyumbani na shuleni pia; Olympio Primary school. Baadhi ya shule zetu especially mjini Dar zilikuwa na maktaba yenye vitabu vingi. List nyingine ni vitabu vya hadithi za mpelelezi Bwana Msa - Siri ya sifuri, Mwana wa yungi hulewa, Mzimu wa watu wa kale n.k., Kusadikika, Hekaya za Abunwasi, na vingine vingi na ukweli ni kwamba navitafuta ili niweke kwenye maktaba yangu.
ReplyDelete