kila mtu anampenda richa



kaimu mhariri wa michezo wa daily news emmanuel muga nusura apitilize katika mapokezi ya richa...





richa akiwa na wakongwe wa habari makaranga na mushi



richa akiwa na farida, albina na flora wa chumba cha usanifu wa gazeti la habari leo



miss tz 2007 leo akiwa katika chumba cha usanifu cha habari leo alipotembelea ofisi za magazeti ya serikali ya daily news na habari leo kutoa shukurani zake kwa kukava habari zake vyema



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu dada anaonekana anawaheshimu Watanzania wenzake bila kujali tofauti zao. Hii ni tofauti na wale wanaoleta mawazo ya kibaguzi hapa, ambayo ni fedheha tupu. Kwa moyo huu alio nao, nafurahi sana kuona kuwa Richa atakuwa mwakilishi wa Taifa letu.

    ReplyDelete
  2. Leo kwenye picha hizi ndo nimekaona vizuri zaidi. Kumbe kazuri.
    Mzee Michuzi ana mchumba au boyfriend huyo? Anaweza kunikubali mimi mbantu? Kama inawezekana naomba mawasiliano yake mzee.
    Au anitafutie basi rafiki yake choonde.
    Mi bado ombi langu lilelile la kupata GELFREND wa KIHINDI.
    Richa kama na we unasoma hii Blog tafadhali naomba nitafutie jamani.

    ReplyDelete
  3. we anon wa 4.29 huwajui wahindi ww!eti anawapenda watu wote,weeh!hebu temea mate chini.Tuulize sisi tuliofanyua kazi kwao na proffession zetu.Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na wabaguzi kupita kiasi.Uko nao ndani ya board room humohumo wanakusema kuwa wanakutumikisha kama mbwa!shssssss!?wahindi si watu kabisa,na hawana upendo kwa weusi hata kidogo, ndio maana mpaka leo mmoja wao akioa au akiolewa na mweusi wanamtenga, hata misikiti yaoi hagusi tena!abishe huyo Richa kama nasema uongo hapa

    ReplyDelete
  4. Emmanuel Emmanuel taratibu ndugu yangu hand shake could be enough...

    ReplyDelete
  5. Nice photos Michuzi. And Richa is beautiful. She looks very confident! She may go far in the Miss World pageant.

    Hongera Richa!

    ReplyDelete
  6. jamani huyo Emmanuel kwani vipi naona midomozzzzzzzzzzz.demu anaonekana hataki yeye analazimisha he hii ndo shughuli ukiwa miss Tanzania basi sitaki tena wengine wanakumbatia utadhani mali zao huyo kama ana mke leo ana achwa manake kuna evidence ya kutosha au mambo ya kizunguuuuuuuu.pressure pressure ya nini nakutesa nakutesa na nini!lol

    ReplyDelete
  7. jamani wengine mna mponda dada wa watu cheki hawa ma kaka wanavyomtolea dada wa watu macho coz shes a fine lady.
    my advice to Richa sasa zile million nane ulizoshinda nenda shoppibg ya nguvu love and work it gal God bless ya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...