Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Duh huyo mshkaji noma. Naona kaamua kukamua tena

    ReplyDelete
  2. we michuzi mbona unatizungua hapo chini ?????

    ReplyDelete
  3. Naona, alipoanza kuandiak jamaa alikuwa anatomasa, kufika kati jamaa kesha vua chupi; anafika mwisho naoma wembe ule ule jamaa kashindua.

    ReplyDelete
  4. Huyo dada anahitaji msaada hiyo, Lugha na staili ya hiyo barua ahiitaji shahidi..mambo mpwito mpwito.

    ReplyDelete
  5. huyu dada si rahisi kupata msaada kwani hata barua yenyewe hajaweza kuimaliza tayari jamaa keshamkamata so hata akienda mahakamani kabla hajamaliza kuelezea jamaa atakuwa tayari keshamkwida, pole zake avumilie tu ndo ndoa zenyewe si aliapa katika shida na raha

    ReplyDelete
  6. Dada wa watu hatuna la kumsaidia yani hajamaliza kuandika kakakuliwa aaaah sina mbavu hiyo kesi kiboko!

    ReplyDelete
  7. what the hell is that, is the gal failed to finish the letter or what?It looks as if she was so happy that she forget how to write.

    ReplyDelete
  8. This is the best by far, lmao

    ReplyDelete
  9. ISSA SHEMEJI UNAMPA PIGO KAMA HIZI KAKA..WAKINA DADA WENGI WANAHUSUDU SANA MICHEZO KABILA HII.

    ReplyDelete
  10. Hahaha. Kiboko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...