1958: FULL TIME! Tanzania 0-1 Mozambique The Taifa Stars throw away their chance of qualification losing in the first game played in their new national stadium.

1955: FULL TIME! Sengal 5-1 Burkina Faso The Teranga Lions were just too strong and now qualify in emphatic fashion as leaders of Group Seven, on 11 points.

1952:GOAL! Henri Camara passes to El Hadji Diouf who shoots high into the net.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. HAYA WOTE SHOTO KULIA BUZWAGIIIII
    dume

    ReplyDelete
  2. WTZ SIKU ZOTE NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU,WANACHOJUA NI KUIBA KURA NA PESA YA UMMA
    dume

    ReplyDelete
  3. kutufunga wamefunga lakini uwaanja tumewafunga

    ReplyDelete
  4. inabidi tujifunze kujenga timu za vijana sio hivyo vikongwe vya leo vilivyocheza watu macho yamewatoka kama wala mirungi.

    ReplyDelete
  5. Sasa kama mpira umetushinda turudi shamba tukalime, we are living off the land jamani. Jembe kwa usawa huu ndio lenyewe!!!!

    ReplyDelete
  6. Sasa tff nendeni kijijini mkalime. Dili zenu za kulanguza tiketi zimefikia kikomo. Hakuna mtu atakayeingia kiwanjani tena. Mtakula majani hayo yalipo hapo kiwanjani.Watu tulikuwa tukienda kiwanjani kushangaa kiwanja. sasa hakuna cha kushangaa tena.

    Na wanasiasa mlokuwa mkitumia mgongo wa taifa stars kupandia sasa kwisha habari.Kachukueni ujiko kwenye rushwa na kwenye mgogoro wa CUF na CCM.Hiyo ndiyo kazi mnayoiweza. Habari ya mpira waachie wenyewe.

    ReplyDelete
  7. acheni wenda wazimu kama kujaribu wamejaribu ndo maana tunabaki nyuma tukishindwa tunasahau yote mazuri.
    sasa ni saa tano na nusu asubuhi lakini hakuna mtandao wowote wa kibongo zaidi ya huu ambao umeripoti habari za stars.ipp wanasema mpaka wanakwenda mitamboni sa sijui baada ya siku tatu ndo watatuletea ripoti au vipi.hongera kaka michuzi unafanya kazi ya maana sana.

    ReplyDelete
  8. Tanzania tumepatwa na mapigo matatu makubwa kamwe hatuto yasahau maishani mwetu

    1. Kuchaguliwa Miss Patel kuwa Miss Tanzania
    2. Ajali mbaya ileyua watu 28
    3. Kushindwa mechi ya Msubiji jana

    Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika

    ReplyDelete
  9. Tangu lini tucheze mpira usiku?Wabongo tumezowea kucheza boli jioni sio mambo ya usiku.Kucheza boli usiku ndiyo kumesababisha kufungwa kwetu.Kamati ya ufundi na wachezaji hawakuweza kwenda kulala makaburini kule kaole,mlingotini nk.CAF waliharibu mipango yetu yote wakatuletea schedule ya usiku ili tushindwe.Hii ni njama.Ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  10. Mbona umesahau Mgodi wa buzwagi,wabunge wakamatwa kwa rushwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...