WACHEZAJI WA TAIFA STAAZ SASA HIVI WAMEKABIDHIWA MSHIKO WAO WALIOAHIDIWA BAADA YA KUFANYA VIZURI KWENYE MECHI NA BUKINA FASO, KATIKA HAFLA MAALUMU ILOFANYIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP. NYUUUZ ZAIDI BAADAYE KIDOGO..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa kaka michuzi unawatafutia hatari wao jamaa wataotewa ohh hakuna mjanja bongo ndio maana inaitwa bongo mimi niliingizwaga mjini hivi kuna mtu ambae hata siku moja katika maisha ajaingizwa town kweli kabisa

    ReplyDelete
  2. Jamani ebu nicheke jana bwana nimemuota kaka michuzi tena na shirt yake aliyovaa miss Tanzania lakini kwa uzuri sio ubaya hope sijaota kwa nguvu maana unaweza leta hatari kwenye ndoa za watu sasa kaka michuzi anyway kazi njema

    ReplyDelete
  3. Siku zooote hizo TFF walikuwa wanasubiri nini kuwapa vijana Mshiko wao,mpaka waone mambo yasije haribika,Mweeee.

    Afol

    ReplyDelete
  4. BAB KUBWA... Full motisha, hapo tuna uhakika wa ushindi

    ReplyDelete
  5. huo uwanja mwanangu kama tupo old traford or newland hapa cape town.poa kila la heri taifa starz lazima tuwape chai hao wabangubangu(wamsumbiji)

    ReplyDelete
  6. Huku ni kutaka hii timu ifungwe. Hawa wachezaji wataenda kulewa siku nzima na kutafuta mabibi hakuna kipya. Hii ni hatari, nani approve hii kitu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...