Home
Unlabelled
familia neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa kumbe India, banladeshi yote imehamia Bongo, malalamishi ya nini kama muhindi ameshinda miss Tz? watu maneno yamezidi, hii ni karne ya 21 tujifunze kuchanganyika, hata nyie wahindi pia changanyikeni na wanachi wenzenu, ebo!
ReplyDeleteMIMI NAFIKIRI TZ SASA HIVI BAADA YA KISWAHILI NA ENGLISH LUGHA YA 3 IWE KIHINDI SIO KIFARANSA.
ReplyDeleteHEY NEHIII SUCHE KAPETO CHORI NEHI NEHI
Ha ha nilitaka kujiuliza tangu lini wahindi wakaenda kuangali mpira !? kumbe wameletwa na Boss...LOL!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNaandika tena kulaani ubaguzi wa baadhi ya Watanzania katika blogu yako. Ninakuomba utumie wembe wako katika blogu yako kutochapisha maoni ya wabagusi au utadhaniwa wewe pia ni Mbabuzi. Mara nyingi unazuia maoni usioyapenda kasa ya CCM, kwa nini huzuiii maoni ya Kibaguzi?
Kama Mtanzania mwenye asili ya
Kihindi, maoni ya Wabaguzi yananikitisha. Wazawa wanapiga kelele sana dhidi ya ubaguzi nchi za nje, lakini nchini kwao, ni kitu cha kawaida kubagua MISS Tanzanai au Mhindi yoyote, ingawa ni wazaliwa wa Tanzania. Kama ni hivi, basi msilalamike mkibaguliwa na wazungu mkiwa ulaya kutokana na rangi ya ngozi yenu. Michuzi, maoni ya kibaguzi inachafua blogi yako.
Nawakilisha ukinichapisha.
Watanzania wengi wamejaa unafiki tu, mkiwa mbele ya wahindi mnawanyenyekea kweli wawape ajira au wawafadhili hata wakiwanyanyasa hamthubutu kujitetea mnakubali tu halafu eti leo hii mnajidai mna uchungu sana Miss TZ ana asili ya Kihindi!
ReplyDeleteIsitoshe wabantu kwa wabantu mnadharauliana wala hamheshimiani ila akitokea mhindi au mzungu mnajipendekeza na kuwanyenyekea, halafu leo hii eti ohh sijui Miss TZ Mhindi blah blah blah... sasa mnyenyekeeni basi si mshazoea, angekuwa mbantu mngebonda vilevile kama kawaida yenu ooh mara mbaya, mara kapendelewa blah blah blah... mijitu mingine Ovyoo!
Jifunzeni kupendana na kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe kwanza, halafu muwe wakweli huo unafiki hautawapeleka popote.