Mimi Kakerejunior na rafiki yangu De boer tuishio Holland tunaitakia kila la kheri blog yetu ktk kuazimisha miaka miwili toka ianzishwe hongera sana Muhidini issa Michuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hali Ya Hatari
    Hivi sasa kuna hali ya hatari hapa nchini kwetu,na pia mimi ninaamini kuna adhabu ya Mungu ili kuokoa watu wake.
    Baada ya malumabano yaliyotokea katika kikao cha bunge la bajeti kilichopita ambacho kikapitisha mhe zitto (mbunge wa kigoma kaskazini) wale wote waliomsakama,kushawishi na kumletea nyodo walikutwa na mabalaa na majanga kama ifuatavyo:


    RUTH MSAFIRI MBUNGE WA MULEBA KASKAZINI,mara tu baada ya kikao mume wake akapata ajali mbaya sana ya pikipiki iliyompelekea asafirishwe mpaka muhimbili na baati mbaya akafariki dunia,japokuwa haikutangazwa sana katika vyombo vya habari.


    PETER SERUKAMBA MBUNGE WA KIGOMA MJINI, mara tu baada ya kikao alipata ajali mbaya sana na gari lake aina ya land cruiser vx ya ubunge ambayo ilibaki kama chapati(written off) na haiwezi tena kutengenezeka hata kidogo ila yeye alifanikiwa kunusurika,japokuwa haikutangazwa hata kidogo kwenye vyombo vya habari.


    ADAM KIGHOMA MALIMA MBUNGE WA MKURANGA, mara tu baada ya kikao akiwa anatoka jimboni kwake akiwa na gari lake la kifahari alipata ajali mbaya sana maeneo ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere japokuwa yeye alinusurika ila gari yake hiyo ambayo ni prado new model kama ya marehemu Amina Chifupa ilikuwa kama chapati, bahati nzuri yeye alinusurika,ila haikutangazwa sana kwenye vyombo vya habari.


    MUDHIHIRI MBUNGE WA MCHINGA, sina haja ya kumzungumzia mana wote tunajua hivi sasa anapata chakula kwa mkono wa kushoto sio kulia tena

    NA HIVI SASA KAPUYA.

    MSAFARA WA LOWASSA WAPATA AJALI AMAAAAAAAAAA!!!!!

    MWENYEZI MUNGU TUNUSURU

    ReplyDelete
  2. ohoo!!that sweet young gunz!

    ReplyDelete
  3. Michuzi pongezi nyingi kwa kuanzisha hii blog ambayo imewezesha wengi wetu kuona na kusikia mambo mengi hasa kwa alie mbali na Bongo!Tumeweza pia kukumbuka mbaaali kwa picha hata miziki na matukio mbalimbali,sehemu nyingi za Dar zilivyobadilika ktk kipindi kifupi.Tumeweza kuona watu ambao tumepoteza mawasiliano kwa muda mrefu.
    Hongera kwa kutimiza miaka miwili ya blog hii.
    Kazi njema Michuzi.

    Sole.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2008

    Blogu nzuri sana Jee unaweza kuniruhusu nitume makala za ujasiriamali kuelimisha jamii?
    Mimi ni mshauri wa biashara.
    CHARLES NAZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...