joti akifanya vitu vyake leo mnazi mmoja kwenye uzinduzi wa mfuko wa uadilifu, uwajibikazi na uwazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. joti mimi nakukubali sana nakutakia kila la heri vp bado amja towa dvd zenu?bro michuzi asante kwa kutuwezesha mungu akujazie baraka
    kash

    ReplyDelete
  2. aaaaaaaaa wanangu mnatisha juzijuzi nilikuwa huko home nikaona ile mliowaiga Msondo na Lucy Dube kwa kweli mliniacha hoi, yote tisa kumi ile ya mzee mzima Wazri mkuu Lowassa kucheza bongo flava na Kapteni J. Komba kumlilia marehemu A. Chifupa big up wanangu pokeeni TANO hizo.

    ReplyDelete
  3. ze comed nomaaaaaaa ongezen juhud wazeeeee endereaaaaaaa niliona mlivyokuwa mnaombea barabara duuuuu aibuuuuuuuuu nahis mkandaras atainjenga sasa na ni kwa week 1 bila shaka...


    x_x

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...