siku hizi ushindwe wewe tu na hela yako, lakini kama ni harusi wapambaji wapo. hii ni kazi ya vayle springs

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mi ninahitaji kupambiwa ukumbi na kutengenezewa keki ya talaka yangu, sasa sijui hilo linawezekana ama hawa wenzetu ni kwa ajili ya maharusi tu?

    ReplyDelete
  2. Katika talaka, Ninyi wawili mmeshindwa kuhimili maisha ya pamoja. Hakuna la kusherehekea bali kujitafakari kwa kina. Yapi ulichangia wewe hata talaka ikawepo na yapi ya mwenzako? Kisha kujirekebisha tabia na desturi. Hilo halihitaji sherehe bali retreat!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...