Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume akimkabidhi hati ya kiapo Mkrugenzi wa Mashtaka wa visiwani Othman Masoud baada ya kumuapisha hapo IKULU Mjini Zanzibar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka Karume anaonyesha mfano mzuri wa kuwashirikisha waPEMBA ambao muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa wanatengwa na wenzao wa Unguja.
    Huyu Othman ni MPEMBA nimesoma nae Sheria pale Univesiti of DSM pamoja na mpemba mwenzie Mama Fatma Maghimbi ambae yuko upinzani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...