baada ya kujiengua toka kundi la east coast wakali wa hip hop bongo ay na mwana fa wanakuja na albamu ya kolabo itayotoka mwishoni mwa mwezi mtukufu wa ramadhani ambayo wameniambia leo kuwa itakuwa ni zawadi ya iddi kwa mashabiki wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Jamani kwani huyu AY hana shati jingine, manake kila picha yeye na shati hilo hilo jeusi au ndio masharti ya mganga.

    ReplyDelete
  2. Sijui kwanini Wasanii wengi pindi kinapoanza "kuchanganya" tu lazima watakorofishana na kusambaratika. Sijui kwanini.
    Mi nashindwa kuelewa!

    ReplyDelete
  3. Vijana hawa wachemkaji tu kwani umaarufu walioupata pamoja si rahisi kuurudisha tofauti.Wanatakiwa pia kujua kutokana na vitabia vyao vya kutofatiana mara kwa mara vimewafanya watu wengi kupoteza interest kwenye muziki wanaouita wa kizazi kipya.
    Katika hali halisi muziki wa kizazi kipya kwa sasa hauna umaarufu uliokuwa nao mwaka mmoja tu uliopita watu wamerudi ktk bendi ili kutokuonekana hawako makini kwa kushabikia vitu vya msimu.There is no return to your old glory.

    ReplyDelete
  4. i just love them, they are "scandal-less" sio kama wengine hawafanyi vitu vya maana upashkuna tu!! but these people know what they are doing...BIG UP BROVAS!!

    ReplyDelete
  5. Labda alisifiwa kuwa hilo shati linampendeza.

    ReplyDelete
  6. hawa vijana wako juu sana! big up! Ay Rusha mikono hewa uko juu kaka, binamu show me some love unatisha kaka.

    ReplyDelete
  7. naona dental fomula AY amerekebisha, afadhali manake ilikuwa zali. Shati la kwa babu hilo shauri zenu. Mjini hapa

    ReplyDelete
  8. JAMANI HAKIKISHENI HUO MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HAUPOTEI/HAUFI. AY SHATI ZURI SANAA MZEE HATA MICHUZI ANALIPENDA.HUYO MWINGINE HAPO ANAITWA NANI kumradhi jamani

    ReplyDelete
  9. u guys r d bomb i jus luv yah!!

    ReplyDelete
  10. nyie mnaitizama wa2 wanavaa nini na dental formula zao mtakuwa hamna kazi.kwanza mmeshawaonyesha kwamba wao wapo juu kinoma mpaka mnawafatilia na mpka mmewaandikia comments.mtakua mnaona wivu 2 sio lingine manake nyie watanzania hampendi maendeleo ya wenzenu..instead of sayin ol tht shyt u shud give em support thse ppl have a special talent n wapo wachache..peace!! B n Ay stay blessd

    ReplyDelete
  11. michuzi thnx alot 4 puttn em on.i jus luv thse guys.besides being very good artists, they r also good people with gr8 personalities, good hearts,intelligent, charmin, sweet..inshort they r d best!!

    ReplyDelete
  12. binamu u got me impressd,being an artist hasnt made u 4get u r a muslim.im glad that u fast during ths holy month (ramadan) n tht u go 2 d mosque on fridays 4 jumaa prayer even whn ts nt ramadhan keep it up.may allah bless u wd much more!!

    ReplyDelete
  13. FA.i luv yah..uve got evrythn i luv in a guy i luv ya sooooo much im crazy about u!

    ReplyDelete
  14. ay leave ur girl n come to me ill give u all the love that u need!! luv yah baby

    ReplyDelete
  15. i take u hamis mwinjuma as my husband 2 love n 2 hold,in sickness n in health,4 risher n 4 poorer..till death do us part..i love u!

    ReplyDelete
  16. hey guys..u knw in lyf therz ups n downs,they r ppl who love u n there ppl who hate u, there ppl who wnt the best 4 u n others who the worst 4 u..therefore i wntd u 2 knw tht uve a friend whoz always watchn over u lyk a guardian angel.i love u guys uve my support.n i believe tht u can always be the best!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...