WADAU KUNRADHI KWA KUTO9KUWA HEWANI KWA TAKRIBAN MASAA 12. HII INATOKANA NA SABABU AMBAZO ZILIKUWA NJE YA UWEZO WANGU. HIVI SASA MAMBO MSWANO NA LIBENEKE LINAENDELEA KAMA KAWA
VILE VILE NAWAKUMBUSHA WADAU WOTE KWAMBA IFIKAPO SEPTEMBA 25, 2007 GLoBU YENU HII YA JAMII ITAKUWA INATIMIZA MIAKA 2 YA KUZALIWA KWAKE. HIVYO KAENI MKAO WA KULA KWANI NAFIKIRIA NAMNA YA KUSHEREHEKEA NA NAKARIBISHA MAWAZO.
MRATIBU WA SHEREHE HIZI ZA HEPI BETHDEI YA PILI NI MH. MTIMKUBWA
VILE VILE NAWAKUMBUSHA WADAU WOTE KWAMBA IFIKAPO SEPTEMBA 25, 2007 GLoBU YENU HII YA JAMII ITAKUWA INATIMIZA MIAKA 2 YA KUZALIWA KWAKE. HIVYO KAENI MKAO WA KULA KWANI NAFIKIRIA NAMNA YA KUSHEREHEKEA NA NAKARIBISHA MAWAZO.
MRATIBU WA SHEREHE HIZI ZA HEPI BETHDEI YA PILI NI MH. MTIMKUBWA


Bora kaka Michu umerudi hewani, manake leo nilitegemea kuwaona mabondia waliojitwalia medali za dhahabu, kufungu ola. Pole kwa majukumu lakini. Endeleza libeneka Mzee. Hiyo hepibethidei kwa kqweli ni muhimu ikatugusa wadau wote. maandalizi mema
ReplyDeletePole Kaka Michuzi. Hii yote ni SWAUMU KALI. Majukumu kisingizio. Usijali tunajua siku ya kwanza SWAUMU INABANA. Mfungo mwema na wenye Barka
ReplyDeleteHapo juu umechemsha - "IFIKAPO SEPTEMBA 25, 2005" , bila shaka una maana ya septemba 25, 2007.
ReplyDeleteWe anony hapo juu we ndo huoni! muone kwanza,, Ifikapo septemba 25, 2007 sio utumbo ulioandika. Michu eeee twaisubiri besideii,
ReplyDeletePole kaka hata mi naungana na annoy wa pili na wa kwanza hii itakuwa ni swaum ya kwanza tuu,majukumu kila siku uko nayo hayakutokea haya,na hiyo epi besdei isijekuwa kama ya mialiko maalum jamani!!
ReplyDeleteBruv Michu mbona unabania story ya wale jamaa 14 watani wetu wa jadi(majambazi)waliolipuliwa risasi huko moshi?Tupe latest naona polisi wa bongo wameamua kula nao sahani moja kwani walianza kuona bongo no soft touch.Well Done TZ POLICE.
ReplyDeleteOyaa anon 1:46 Michu kaandika tarehe 25 Septemba 2007, we unasema 2005, usisome harakaharaka bwana, unaanza kumkosoa mwenzio, kachoka na ana swaumu, mwezi mtukufu huu , usitake kuzingua watu, kama vipi rudi shuleni kakirudie kitabu cha "SOMA KWA FURAHA" Kitabu cha kwanza.
ReplyDeleteNyie mnaomsakama Huy jamaa aliyemrekebisha Michuzi, jamaa yupo sawa. Michuzi alikosea alivyoambia akarekebisha haraka haraka...wala hajasema asante au samahani kwa usumbufu. Sasa anasababisha jamaa aanze kutukanwa kwa kosa lake yeye. Huu sio uandishi wa habari kaka Michuzi. Angalia code of conduct ya uandishi wa habari ndugu. Umezidi kulipualipua hadi soo
ReplyDeletekaka michu najua ni swaumu ilikubana kidogo.ila ukiandika ndivyo sivyo alafu ukirekebisha uwe unatoa taarifa, hii ni mara ya pili unakaaaga kimnya unaangalia watu wanavyosakamwa na waosha vinywa
ReplyDeleteHepi bethidei ini adivansi!
ReplyDeletePendekezo:
Wadau wapewe nafasi kutaja mambo 2 makuu (zuri na baya) yaliyofanywa kupitia blogu yako kumechisha miaka 2 toka kuzaliwa ili kupitia maoni hayo uongeze bidii au urekebishe tatizo. Mimi naanza mfano:
1.ZURI: Pamoja watu wengine kuona kuwa ni kero, hii ni Blogu inayoongoza kutuleta habari mbali mbali katika picha kuhusu Watanzania wanaofaulu na kuhitimu masomo yao (Nondoz) jambo ambalo linatakiwa kuendelea kupewa kipaumbele kama chamgamoto nchini badala ya kushabikia tu mambo ya starehe mf. Big Brother Africa n.k
2.BAYA: Wadau tunasikitika post zetu zinapominywa pindi tunaleta masikitiko au masahihisho. Mf. tulipoomba Uongozi wa Twanga pepeta kutuomba radhi si kwa kuahirisha onesho Rotterdam bali zaidi kwa KUONGOPA KUWA KUNYIMWA VIZA NDIO ILIKUWA SABABU WAKATI UKWELI ILIKUWA NI KUONA KUWA HAKUKUWA NA MASLAHI!.
(Michuzi ukiminya na hii basi Dua la Kuku kweli halitampata mwewe!)
Michuzi, POLE! Nilidhani blogu umetekwa nyara tena!
ReplyDelete