Home
Unlabelled
lidaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
LEO JIONI HUKO CHICAGO KATIAK MECHI YA KIRAFIKI BRAZIL IMEITWANGWA USA 4-2 KATIKA MCHEZO ULIOKUWA VUTA NIKUVUTE. TIMU YA BRAZIL IKIWA FULL MKOKO ILIITUNDIKA TIMU HIYO YA USA KATIKA UWANJA WAO WA NYUMBANI HUKO MJINI CHICAGO... BRAZIL JUMATANO JIONI WATAJUTUPA TENA UWANJANI KUCHEZA NA MACHICANO HUKO NEW JERSEY...MNAWEZA KUONA ILO PAMBANO KWA KUPITIA ESPN2 AU UNIVISION KWA WALE WANAOISHI MAREKANI TU.
ReplyDeletekasera
kc,ks
Michuzi hiyo jezi soo, inakutia nuksi usiivae.
ReplyDeleteBro Michuzi unanipa feelings kama uko kila mahali.Kinachonishangaza ni kwamba Bongo kuna foleni za magari barabarani. Mwenzetu una usafiri gani?
ReplyDeletehuyo kocha hana timu afundishayo?
ReplyDeleteAu unamaanisha hapendi timu aifundishayo?
Kweli ukoloni mambo leo uko damuni mwetu
Mwanangu nimeona hilo boli la wabrazil na wamarekani ilikuwa sooo!
ReplyDeletewabrazil wamebadilishana wakawatoa hata nyota lakini kila aliyeingia ilikuwa noma. kumbe Ronadinho, kaka, Robinho hata Baptista bado ni wakali! wamarekan hawakuamini macho yao wanafungwa kama wamesimama. baada ya kusawazisha bao la pili wakajiamini kweli wakadhani wanaujua mpira, wee kikawapata cha mbwa mwizi.
kama una muda usikose kuangalia hiyo mechi ya jumatano uone vipaji.
Chikaka.