Home
Unlabelled
lugha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu huyo jamaa hajachemka wala nini.Ana maana kuwa hana muda wa kwenda kubeba MABOX na KUOSHA MAVI WAZEE nchi za magharibi kama US/UK.Haya wadau wa ughaibuni dongo lenu hilo
ReplyDeleteDUME
we fala wa kwanza nenda shule,unajua tofauti ya WEST na WASTE,we unafikiri tunaobeba box tunapoteza muda?we jidanganye tu!
ReplyDeleteNO TIME TO WASTE
ReplyDeletehahaaaaa! hii ndo iinaitwa swahili overdose! mmmh
ReplyDeleteangalau hizo shule za Lowassa zitukomboe angalau sasa tunauhakika elimu ya chini itakua sekondari, so kiinglish kitakua rechabo
maboksi ya ulaya yanalipa kinoma! si unaona huko Bongo jamaa zetu wanatesa na hioz hizo.
ReplyDeletehivi nani Bora yule anayebeba BOKSI na kuweza kulisha, kuvalisha familia yake na ndugu zake bongo au wewe unayekaa kijiweni kupiga soga ama kwenye internet cafe kuandika pumba na unategemea mishen town upate mlo wa jioni.
ReplyDeleteNdugu zangu mliopo Ulaya na kwingineko kutafuta maisha msipoteze muda wenu kubishana na baadhi ya watu wenye frustration waliopo Bongo, kwa wale waliosoma Saikolojia hiyo tunaita steam off! Wanapunguza ghadhabu zao za msoto kwa kutoa mineno michafu! Maisha popote bora utimize malengo yako!
ReplyDeleteduh!!we ni noma,yani hupitwi na kitu,sasa ulifikiria nini kuweka picha kama hii?ok mkkubwa ...bgup kwa kazi yako
ReplyDeleteHiyo kali bwana misupu.Kuna nyingine imeandikwa IS UP TO YOU insteda of IT'S UP TO YOU.
ReplyDelete