lady jd akijidai na trupu lake zima la machozi band ambalo limekamata kisawasawa hasa wanapokuwa pale jj blue kila ijumaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MACHOZI.....! SASA IKO JUU, LAKINI NAOGOPA WASIJE WAKATUTOA MACHOZI KWA KUVUNJIKA KWANI WENYEWE MNA MSEMO "MWAKA WA SHETANI" tumeona Bendi nyingi zikija na kuyeyuka kama barafu, sasa kazeni buti. Hongereni sana. (askofu KG)

    ReplyDelete
  2. hongera lady jd u deserve it and enjoy ur life!!salamu toka USA.

    ReplyDelete
  3. HI JIDE NAKUFAGILIA SANA SISTER UKO JUU SANA NAKUPONGEZA KEEP IT UP MY DEAR!!

    ReplyDelete
  4. Safi sana, Nakufagilia Jide kwa ubunifu wako, hiyo idea si mchezo keep it up.Mdau Netherland

    ReplyDelete
  5. JUDITH WAMBURA UKIPENDA MUITE KOMANDO,WALLET,MRS G.HABASH.

    MTU WANGU NAKUPA PONGEZI NYINGI SANA.UNATAHILI KWA MEKEKE UNAYOONYESHA.

    JITAHIDI KAMA ALIVYOSEMA ASKOFU(KG) MWAKA HUU WA SHETANI.

    WAKO WAPI EAST COST,TMK,WATU PORI.

    TUPO PAMOJA KA SAMAKI NA MAJI.


    AMINIA M2 WANGU KWELI "hazigandi"

    ReplyDelete
  6. hongera sana jd,nafurahi sana kuona wadada wanafanya kwa vitendo.Bora sio kama huyo mariam obrieno anayetamba marekani huku kwanza anaishi kwenye kichumba kimoja hapo benton harbor na tunasikia anazaa na kutishia wenzie eti atawaripoti warudishwe.Kwa wale waliouliza imfo za huyo mariam obrieno ni 269-861-6293.

    ReplyDelete
  7. Sasa wewe unayetoa hizo habari za huyo mariam obrieno, ni personal speaker wake au umejisikia tu kuwa mtandao. get a life

    ReplyDelete
  8. Big up jide,lakini kitu kimoja jiweke vizuri manake picha zote unaonekana umechoka sana ni uzee nini?.na hiyo lipstick wala haifai.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...