WADAU, HADI TUNAINGIA MITAMBONI ASUBUHI HII TVT HAIJAPAA BADO HEWANI KUPITIA http://africa.jumptv.com/ KWA SABABU AMBAZO HAZIJAELEZWA. JUHUDI ZA KUJUA KULIKONI NA NINI KINAENDELEA KATIKA MSTAKABALI WA KUONA GEMU LA LEO NA HABARI ZINGINE ZA BONGO ZINAENDELEA
Home
Unlabelled
mambo bado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


This is the only Mozambique online TV. Nadhani wataonyesha mpira. Please fuatilia.
ReplyDeletehttp://us.video.aol.com/player/launcher?refId=video:asset:pmms:1929625&autoplay=0&ar=us_en_video_408x406_snag
kwa kweli hiyo tvt siipati kabisaaa.
ReplyDeleteila naona hiyo tv ya msumbiji inaonekana labda kama nao wataonyesha ilo soka itakuwa vema.
waambie wadau kama vip baada ya mechi watupatie japo recorded scripts ili na sisi tulio mbali na liuwanja japo tuweze kuona kilichojiri.
HATIMAYE LEO ***HARUNA MOSHI*** ATAIVUSHA TIMU YETU KWENDA GHANA.
ReplyDeleteKWA MAWASILIANO NILIYOFANYA NA WAZEE WANGU KULE IBITABAGUMBA,UKEREWE,NYAMARANGO,NYARIGAMBA(MAKOKO),MWITONGO,NYEGINA,GEZAULOLE,UJIJI,NGARA,NAMTUMBO,NYANGUGE.
LEO KIJANA MWENYE MASHUTI MAKALI.Haruna Moshi ataustua umma wa watanzania na kuivusha Stars.
PIA NIMEANGALIA KWENYE LI-PLASMA LA BABU KULE ROMBO,KASHOZI,CHUMBAGENI,KWAMICHI,MUHEZA NIMESHAPATA MATOKEA PIA YA SENEGAL AMBAYO NI KWAMBA WAMETOKA **SARE**.
HIVYO KWA HESHIMA NA TAAZIMA NAOMBA MUANZE SASA HIVI MAYOWE KUSHANGILIA.
MIMI NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUTUMA PONGEZI KWA STARS..
PONGEZI TAIFA STARS KWA USHINDI WENU.
KILA LA KHERI MTUWAKILISHE VEMA GHANA ILI TUCHEZE WORLD CUP 2010 HUKO KWA MADIBA
NAOMBA KUWASILISHA.
Michu upo kwenye kamati ya Ufundi nini leo, maana kila nikikupigia hodi kimya
ReplyDeleteLIVE: Uganda 1-1 Niger, Group THREE
ReplyDeletewapi tutaona mpira wa leo jameniii
ReplyDeleteNB KWA POST YA HAPO JUU YA AJALI!INNALILLAHI WA INNA ILLAHI RAJUUN MLIOFIKIWA NA MSIBA HUO ALLAH ATAWAPA SUBIRA AMIN
Wewe Ndaki wewe.
ReplyDeleteYani nakuona kama unachezea kwenye hamsini zangu.
Unajua pale Nyarigamba primary(makoko)Ukiangalia ziwani nyumba ya mwisho ni KATIBU WA CCM Mkoa.Je hiyo nyumba ya juu yake unaijua vizuri??Ok,Pale Kwamichi Tanga kwenye hiyo dipoti ya bia pembeni ya NGUVA BAR unajua hiyo nyumba vizuri??Umenikumbusha Mjengo wa Maarifa kwa mdau Tarimo aka Ekernforde shule ya chips mayai.Du unapigwa jua la uso ukienda mjengoni na unapigwa jua la uso ukirudi Chumbageni kwenye zile Hostel za mdau.Lakini sisi ni kupasua tu.Ooooh shule raha nyingi sisi ilikuwa kupasua tu.Sasa Ndaki rombo sasa siendi.Ngoja nishuke hapa Marangu mtoni kwani naelekea Mwika.Nipe email yako.Yani kama tunachungulina vile.
Majita.