tumeanza mbali na sisi kumbe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. duuuh ebwaqna ee mwaka 34 kulikuwa kumbe na gazeti...!!!!? tena kwa lugha ya kiswahili? jamani hivi lilikuwa linachapishwa wapi?
    nina wasiwasi lilikuwa la wakoloni
    lakini nimefarijika sana maana mie ni mpenzi sana wa vitu vya kale, mheshimiwa michuzi hangaika hangaika utuletee vitu adimu kama hivi.

    ReplyDelete
  2. gazeti lilivyoandika juu bei senti 10 na kwingine senti ishirini kwingine ni wapi?

    ReplyDelete
  3. Hiyo ilikuwa gazeti ya Tanganyika Territory. Lakini kwa 1934 hizo senti 10 ni nyingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...