
jk akiongea na wachezaji taifa staaz leo. wadau mambo yakienda sawa unaweza kupata tv za bongo kupitia http://www.jumptv.com/ baada ya kufuata maelekezo kwenye tovuti hiyo ambapo ukiskroo kwenye 'all countries' utaikuta bongo na hapo bonyeza bonyeeeee.... sina uhakika kwa nini tvt bado haijawekwa hadi naandika haya na naendelea na juhudi ili kujua sababu kwani ahadi ilkuwa inze leo. anuani ya tvt ni:
TELEVISHENI YA TAIFA (TVT)
P. O. Box 31519
Dar es Salaam
Telephone: 022-2700011, 2700062, 2700464Fax: 022-2700468
Email: tvt-dg@africaonline.co.tz
Owner: Government of the United Republic of Tanzania
Location: Kijitonyama, Off Bagamoyo Road
Date of Licence Issue: 10/3/2000
FREQUENCYBase Station (Dar es Salaam) Channel 5 (VHF)


jamaa watvt waconferm basi inakuaje ?maana watu joto sana sasa .
ReplyDeleteHIyo kitu haionekani. Kila ukibonyeza bonyeee hakuna kitu kinachotokea. Hebu JumpTV acheni uhuni tuwekeeni hiyo TV tuone.
ReplyDeleteWe misoup kama unatoa maelekezo toa maelekezo yanayoeleweka. Sasa tukifungua hiyo tovuti tufanyae nini? Tu- "sign in" au tu-subscribe? tufanye nini? Hizo details za TvT ulizoandika hapo tuzitumie wapi? Hujaeleweka kaka!
ReplyDeleteMaana ukienda kwenye hiyo tovuti unakuta StarTV na Channel 10 ambazo inavyoonekana zote zinahitaji either u-sign in au u-subscribe siyo bure.
Nilihamasika sana na hii message lakini sijafanikiwa. Tuelekezevizuri tafadhali.
Nicholaus Bahane
Unaweza kuangalia video ya Rais Kikwete akiongea na wachezaji wa Taifa Stars kwa kubofya hapa.
ReplyDeletePia unaweza kuangalia video ya kocha Maximo akiongea na waandishi kwa
Naona nimesahau kuweka link hapo juu
ReplyDeleteVideo zinapatikana bongo5.com, kupitia ukurasa huu
http://www.bongo5.com/index.php?option=com_seyret&Itemid=183&catid=16
mbona hawapokei simu?zinakuwa kama simu za dharura za polisi wa bongo bwana?..watu tushapagawa saivi tunasubiri kuiona game livwe..kama hawawezi wasitangaze basi kama wataweka tv yao online..aaaarggghhh
ReplyDelete