
On the 9th of September 2007 His Highness Shaikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, President of the United Arab Emirates received letters of credence of 10 new envoys to the UAE amongst them was His Excellency Mohamed Maharage Juma (red tie) who is Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates
YAANI MAJINA YA KIBONGO ASILIA NAYAPENDA SANA.HEBU CHEKI HAYA
ReplyDeleteMICHUZI,MAHARAGE,SIYAWEZI,MUSIBA,MATATIZO TEE TEEE!!! BURUDANI TOSHA!!
Michuzi's English is now'reachable'.
ReplyDeleteKiingereza bwana mhhhh...
ReplyDeleteAmbassador extraordinary..
Hivi Huyu Maharage ni Ambassador extraordinary,ni extraordinary kwa kitu gani? mtufafanulie wengine kiingereza hatujui.
Anon 09:51 PM, Umesahau jina moja, HANDAKI kwa kifupi NDAKI!
ReplyDeleteYaani jamani nyie wengine mnataka anza bifu na Ndaki wa watu!!mi simo kwani kawaambia fumbo mtaje jina lake kwa kirefu??
ReplyDeletemwenyewe kanyamaza we unamchokoa!!haya!!
Umesahau jina moja Hippoppotamasi Msafiri.
ReplyDelete