Home
Unlabelled
mtoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watu wana utani ee!, ni kwamba huyo binti kapotea au?? au nimeelewa picha vibaya..
ReplyDeletenchi za wenzetu hawachelewi kumtaifisha huyo baby na kuwa chini ya social service,kisa mzazi kashindwa kulea.
jamani mtoto wangu naombeni mnileteeni huku kwa baba bush maana naona sasa kinawaka kweli kweli, mume wangu kashindwa kumlea kabisa huko nyumbani,itabidi nikamfuate mtoto wangu yani kinauma ningekuwa sijasoma blog hii nisingejua kwamba mtoto wangu. jamani roho inauma sana.
ReplyDeleteasante sana kaka michuzi kwa picha hii.
MWENYE MTOTO NI YULE ALIYE ANGUKA MKAMLAZA NA KUMPULIZA NA KANGA YAKE MWENYEWE, HAYA SASA MPELEKEE.
ReplyDelete