
mzee wa macharanga charles hilarly (shoto) akipiga stori na mzee mshana wa tvt. soma habari zaidi za mtangazaji huyu mahiri kwa kutembelea www.bongocelebrity.com
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI , UMEMWAMBIA CHARLES ARUDI NYUMBANI?? TAIFA LINAHITAJI WATANGAZAJI WENYE KIPAWA KAMA CHAKE.
ReplyDeleteANAPOTEZA MUDA HUKO NJE BUREE, ARUDI AJENGE TAIFA LAKE .
ha ha ha !!!!
kaka,kama unahasira ibanie hii post .
Mzee Chaaaaaarles (si Chales!) ungebaki Sinza lile ungeshapata kisukari saa hizi !
ReplyDeleteBora umekuja mtoni naona unag'ara tu !
Keep up the goodworks kakaangu
Wee annon unayemwambia Charlzzz arudi bongo kutafuta nini??Eti kujenga Taifa,taifa lenyewe hilo halijengeki kila leo watu wanakula pesa kwa mikataba fake.Charlzz baba jilie vitu vyako ndani ya the great London,nchi wataijenga wao......na utajenga kwa Queen
ReplyDeletekaka endelea kukaa hukohuko, UPONE NA WANGA,,watu wanakatana mikono huko africa..ndo kama hivyo, ukileta za kuletwa, na wewe unaletewa vilevile,,so kauka hukohuko, bongo njoo likizo, kwa umri wako, kaa huko, upone na magonjwa yasiyo na mpango, upate huduma nzuri za kiafya etc,,ukishazeeka sana labda ndo uje, ila kabla ya kuja UJIKINGE, maana watu na shughuli ya kukatana mikono (Muhidhir degign) hawaachi waafrica, we si wawajua..
ReplyDeleteBro Michu usiwachimbe hawa wazazi wenza
ReplyDelete