yaani nashindwa kupata picha endapo kama ngoma hii ingechezwa bongo vinywa vingeoshwaje...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wabongo kama kawaida yetu, ubosi ubosi ndo unaturudisha nyuma. Mameneja wa kibongo wanapenda kukalia viti utadhani walizaliwa nayo!! Ila tutatoka tu.

    Mwakilishi.

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni picha halisi kabisa ya Tanzania.Tanzania wasimamiaji ni wengi kuliko watendaji na wazalishaji.

    Hao wanaosimami ndio hata mishahara wanayo mikubwa kuliko huyo anayechimba.

    Wewe unayechimba na wewe bwege kwa nini usiwageukie uwalime vichwani na hilo sululu na kuwatimua hapo.

    ReplyDelete
  3. bongo tungekuwa hivi mbona mataiga wa asia tungewaacha mbali kinoma

    ReplyDelete
  4. Hii Kazi

    Pamoja na kwamba inawezekana ni kwenye developed country inafanyika unsafely. Hao mameneja hata yule ndani ya shimo hawana safety gears kama hard hats, safety glasses probabably hata safety boots. Pia hiyo picha haionyeshi eneo la tukio ni wapi, na nis shughuli gani hao mabwana wanafanya (Type of industry). Kwa kifupi ni kwamaba bongo hii kitu inafanyika sana tu kwenye makampuni binafsi siku hizi. Hivyo basi hamna maajabu yoyote zaidi ya kuona watu wakubwa kwenye organaizesheni wakifanya kazi unsafely.

    ReplyDelete
  5. Anon wa 10:45 AM wewe umekariri, safety, kuna maeneo ya hard hat kama vile building sites kwa sababu ya falling objects, safety glasses kama kuna kuna spakes zinazoruka either wakati wa welding au unapotumia nail guns like paslode ambayo msumari unweza kuruka na kukuharibu jiko (macho), Sasa hapo kwenye excavation hivyo vitu vya nini tena maana hata hiyo GUN wanayotumia hapo nafikiri ni TE 16 au TE 76 P, inatumika kubomoa surface. Hao wanajua safety measures kuliko unlivyo kariri wewe. Na kama Hard boots wanazo au huzioni. Usikariri ndio ninyi mnatembea na kandambili wakati ni viatu vya ndani.

    ReplyDelete
  6. Michuzi, Hii picha inahusu kitu gani hasa?.. maanake inafanana na ile waliyokuwa wakimwokoa mnyama mdogo aliyetumbulia shimoni.

    Kama ndio hii, Je, ulitegemea watu wangapi waingie shimoni?..

    ReplyDelete
  7. te the eeeeeeteh tee hii imenifurahisha...lakini ni kweli just imagine ...unakumbuka wakati ule wanablog bongo walikua wanatafuta sijui viongozi..no offence lakini why need all that....mwenyekiti wa wanablog...kubwa ...mtunza hazina...te te tehhhh bongo tunapenda uongozi na kazi haitekelezwi kabisa... tatizo wasomi wengi na kazi hamna...sasa maubongo yanachemka tu kama volacano kila moja linalipuka kivyake...mhhhhh ...halafu wachini na wasiojua nini kinaendelea ndio wanaumia...wafanye kazi wote...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...